Wasiopenda maendeleo na wachawi sio kwenu tu hata kwetu wapo!
FULHAM FULHAM FULHAM [emoji57]View attachment 1214065
Congrates
Mkuu hivi huwa unakula na mikeka ya style hii kweli?Maoni yenu wakuuView attachment 1214072
Premier Bet hizi hapa 0713 018901 anaitwa Benja, 0765 000110 anaitwa David ,0687 487061 anaitwa Khalid Mwinyi pia 0687 312051 kama upo Mwanza kuna huyu 0626 536561anaitwa Aziz.Jamani naombeni mawasiliano ya primiebet namba ambazo wameweka pale mbona huwa hazipatikani
Doh una mpaka na majina yaoPremier Bet hizi hapa 0713 018901 anaitwa Benja, 0765 000110 anaitwa David ,0687 487061 anaitwa Khalid Mwinyi pia 0687 312051 kama upo Mwanza kuna huyu 0626 536561anaitwa Aziz.
Sana mkuuMkuu hivi huwa unakula na mikeka ya style hii kweli?
Pamoja mkuuWolfsburg 1X, itakuwa vizuri zaidi.
Pamoja..,japo nimesha ulipia tayari nasubiri Hadi iyo tarehe24 mambo yatakuwajeHuu huwezi patia.. Full time winner siyo option nzuri hata kidogo,
Kwa mechi hizihizi changanya option haswa double chance na over1.5.
Una hamu kali sana ya kuliwa....Wakuu anaejua kucheza hii wheel of fortune anielekeze maana nimejaribu tu nimeweka jero nikachagua namba 16,28 na 14 mara likazunguka ikatokea ikatokea 16 nikapewa 6000 sasa sijajua kulicheza
Yaan kwa mfano kwa 500 unatakiwa uchague mwisho namba ngapi na ukila wanazidishaje siekewi wakuu naona nimejaribu wamenikaribisha vizuri
Nlipasua 9Ulipasua Mechi Ngapi Mkuu
sawaa nimekuelewaWatu n wagumu kuekewa mno ukiona kitu ukielewi achananacho Kwan kitakugharimu Kama option hujaelewa na maelekezo yapo humohumo just hyo n bet lost,
Wale mnaotegemea withdraw kutoka BETTING COMPANIES kwenda benk andiken maumivu Kwan Tanzania hairuhusu bank kupokea pesa kutoka BETTING COMPANIES kuweka hvyohvyo Kama umeona hzo faini walizotozwa mabenk juu ya makosa ya utakatishaji pesa Basi jua kwenye betting hawataruhusu Kama unahela toa Sasa angalia uwezekano mwingine.
Msiniulize maswali Mana Kuna watu humu n wagumu kuekewa.
Kwani Kuna nini sijaelewasawaa nimekuelewa
Mzee baba unasemea hii ama? Naona hawa jamaaa wa Banc ABC na wengineo hawapoWatu n wagumu kuekewa mno ukiona kitu ukielewi achananacho Kwan kitakugharimu Kama option hujaelewa na maelekezo yapo humohumo just hyo n bet lost,
Wale mnaotegemea withdraw kutoka BETTING COMPANIES kwenda benk andiken maumivu Kwan Tanzania hairuhusu bank kupokea pesa kutoka BETTING COMPANIES kuweka hvyohvyo Kama umeona hzo faini walizotozwa mabenk juu ya makosa ya utakatishaji pesa Basi jua kwenye betting hawataruhusu Kama unahela toa Sasa angalia uwezekano mwingine.
Msiniulize maswali Mana Kuna watu humu n wagumu kuekewa.