The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Thanks D kwa hilo.Kabla ujaanza kubet hakikisha unachagua stake kabla ambayo ni vichip vipo upande wa kulia hapo.
All the best aise
aisee hongera mkuu....Mimi ni manundu kila nikijaribuSingle,na hiyo hapo ni free tiket baada ya kushea tangazo lao twitter.
Hahaha kati ya mchezo unaoonekana ni rahisi kupiga hela kwenye macasino ni huu lakini kiuhalisia inabidi huwa makini sana ili uipate hela yake lasivyo utajikuta umepunwa hela zote.Thanks D kwa hilo.
Ila hayo maneno niliyoweka red colour, ni kama umeandika kwa huzuni hiv ukijua ni nn kinaeza nipata nikienda huko!
Bonyeza link hiii https://www.betpawa.co.tz/help kisha ingiza namba yako kwenye kibox, halafu gonga CALL ME, watakupigia. Alternatively, wapigie kwa namba walizoweka katika page ya link hiyo. Hao wa kuchat Whatsapp sijui kama huwa wanafikisha tatizo la mteja kwa watu wao wa ITWakuu, nimetoa hela betpawa ila haijaja kwenye simu yangu. Masaa karibia 48 sasa. Nachat nao whatsapp wanasema wanashughulikia, nifanyeje nipate hela yangu jamani? Msaada tafadhali wakuu.
π π π π karibu tena!Wakuu naombeni msaada. Nilikuwa nje ya mtandao wa mkeka kwa takriban miezi 7. Jana nimeingia 1xbet sioni kampuni zetu kwenye kudiposit. Utaratibu wao umebadilika na unafanyeje kudiposit?
Mbona wengine tunatumia bila shida sema changamoto yako usaidiweHii PARIMATCH ya ukraine ni uchwara tu hakuna lolote..ni kampuni uchwara tu wala usipoteze muda kuingia humo
Aiseee 1$ every bet...yan una deposit $15 hlf ikiliwa tu inasoma 14...ukiliwa tena 13, ni nini hicho sasaMbona wengine tunatumia bila shida sema changamoto yako usaidiwe
Bonyeza link hiii https://www.betpawa.co.tz/help kisha ingiza namba yako kwenye kibox, halafu gonga CALL ME, watakupigia. Alternatively, wapigie kwa namba walizoweka katika page ya link hiyo. Hao wa kuchat Whatsapp sijui kama huwa wanafikisha tatizo la mteja kwa watu wao wa IT
Nimewacheck. Wameniambia wanashughulikia. Asante, japo napishana na hela.
Aksante mkuu. Msaada tafadhali au walishafungasha virago? Nawapenda 1xbet kwa kuwa ukila mkeka wanakulipa hata kama game inaendelea. Hawa wengine mpk game iishe ni michosho.π π π π karibu tena!
Una nyota ya kubeti sema kama kuna mtu anaitumia nyota yakoMbinu wazee za kumkeketa uyu muhindi,Jana kachomoka mikononi mwangu chupuchupuView attachment 1214822
Hapo kwenye "both team to score first half(No),kwanini usicheze over goals tu...Nipeni marekebisho wakuuView attachment 1214810
Mr. huu mkeka unaendeleaje?Maoni yenu wakuuView attachment 1214072
Mambo sio yaleyale tena yamebadilika 1x mobile payment za Bongo Kitambo tuu hazipoAksante mkuu. Msaada tafadhali au walishafungasha virago? Nawapenda 1xbet kwa kuwa ukila mkeka wanakulipa hata kama game inaendelea. Hawa wengine mpk game iishe ni michosho.