Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aksante mkuu. Msaada tafadhali au walishafungasha virago? Nawapenda 1xbet kwa kuwa ukila mkeka wanakulipa hata kama game inaendelea. Hawa wengine mpk game iishe ni michosho.
Hata zingine zinalipa pia kwa in play kama matokeo uliyochagua yamekubal kuacha m-bet, premeirbt,..
Tumia njia m-badala kuweka huko 1xbet unakohitaji.
 
Wakuu, nimetoa hela betpawa ila haijaja kwenye simu yangu. Masaa karibia 48 sasa. Nachat nao whatsapp wanasema wanashughulikia, nifanyeje nipate hela yangu jamani? Msaada tafadhali wakuu.

DUH
SASA WEWE NDIE UNACHAT NA WAHUSIKA HUKU WATAKUDANGANYA TU DILI NAO HAOHAOO MPWAAA
 
boss ku verify acc. ya skrill ulifanyaje mpaka ikakubali? mimi nilituma bank statement,pasport na vitambulisho kibao ikakaa baada ya wiki kadhaa vikawa rejected!!! nikaachana na hiyo acc maana niliambiwa hata ukija kula mkwanja mrefu huwezi kuitoa . Nilikuwa natumia dirrect visa sasa wameshabana rasmi haiwezekani tena hawa warusi
 
Wakuu kwan total odds huwa wanacalculate vp, nimejaribu kuchukua games 7 za odds 1.20 each kama jamaa hapo juu lakin total yake haizid odds 4 wakati nikizidisha kweny calculator napata 8.4...ufafanuz wataalam.
 
Wakuu kwan total odds huwa wanacalculate vp, nimejaribu kuchukua games 7 za odds 1.20 each kama jamaa hapo juu lakin total yake haizid odds 4 wakati nikizidisha kweny calculator napata 8.4...ufafanuz wataalam.
Da pole mkuu kwenye kamari wewe unaonekana mgeni kabisa pia hesabu shulen zilikupita kushoto yaan unachukua
1.20 x 7 =8.4

Chukua hivi 1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2 = 3.58 hili ndio jibu sahihi

Hapo juu ni majibu mamwili tofaut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…