Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
Mwili unaitaji kurecover mzee baada ya kichapo kikaliiLeo hamfungui duka Nini wakuu sioni mafuriko ya mikeka
Wana mawenge sana..tangu juz hawaamui mojaHawa jamaa hata hawaelewekii leo kutoa ni 3500/=
Young boys sometime ana dema sanaLeo game za ushindi
Celtic
Liverpool
Rangers
Young boys
Chelsea
Madrid
Atletic madrid
Napoli
Psg
Hakuna mchawi hapo
asanteni kwa dua zenudual zenu nalala bado hiyoView attachment 1215455
Hapo maombi pamoja na uwang unabdi huusikeHatimae mzee GILIADI wa kwny bango la BETPAWA kapumzika daah,,,ngota tuone huyo dogo atakaa muda gani, hapa kuna treni langu la wiki lina timu 30 bado 4 tu, za over 1.5, zikitick dogo anatoka apo.Dua zenu wadau.!!
Tangu lini kwenye direct win akakosekana mchawi mzee.Leo game za ushindi
Celtic
Liverpool
Rangers
Young boys
Chelsea
Madrid
Atletic madrid
Napoli
Psg
Hakuna mchawi hapo
Nadhan leo hawezi tokea, hizo timu zote zinauchungu na point 3Tangu lini kwenye direct win akakosekana mchawi mzee.
Mkuu tuwekee hapa ilo trein na sisi tupate morali ,wengine tulishakata tamaa na matrein, na kila siku wanasema huwez win tren hata siku mojaHatimae mzee GILIADI wa kwny bango la BETPAWA kapumzika daah,,,ngota tuone huyo dogo atakaa muda gani, hapa kuna treni langu la wiki lina timu 30 bado 4 tu, za over 1.5, zikitick dogo anatoka apo.Dua zenu wadau.!!
Nilijua kafa mtu kumbe betting!Hatimae mzee GILIADI wa kwny bango la BETPAWA kapumzika daah,,,ngota tuone huyo dogo atakaa muda gani, hapa kuna treni langu la wiki lina timu 30 bado 4 tu, za over 1.5, zikitick dogo anatoka apo.Dua zenu wadau.!!