Mambo mengine unagoogleWadau naomba msaada kwa anae faham
Volleyball nahtaji kujikita katika huu mchezo maana football inazngua sasa naomba kuuliza hvi zile point huwa zinahesabikaje? Maana sometime Hua hivi 25:20 set ya kwanza hyo alafu set ya pili 19:25 na ya tatu 25:19 sasa swali langu ni je nawezaje kuhesabu jumla ya point katika set zote?
Msaada please
Nilitaka nimjibu hivyo nikasita! A-google asome aelewe kama inamfaa au vipi..wengine volleyball ni kisirani, asome aamue personallyMambo mengine unagoogle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka nimjibu hivyo nikasita! A-google asome aelewe kama inamfaa au vipi..wengine volleyball ni kisirani, asome aamue personally
Sisi wa bongo ni wavivu sana take your time tulia soma kwa makini,kwanza advantage yake utakuwa una bet kitu unacho kijua kwa undani,kuliko kuelezewa juu kwa juuNilitaka nimjibu hivyo nikasita! A-google asome aelewe kama inamfaa au vipi..wengine volleyball ni kisirani, asome aamue personally
Tambov anazingua Sana hata goli hapatizainabu ashaanza kuzingua duuuh!!!View attachment 1215852
Hlf uulize tena..!!Wadau naomba msaada kwa anae faham
Volleyball nahtaji kujikita katika huu mchezo maana football inazngua sasa naomba kuuliza hvi zile point huwa zinahesabikaje? Maana sometime Hua hivi 25:20 set ya kwanza hyo alafu set ya pili 19:25 na ya tatu 25:19 sasa swali langu ni je nawezaje kuhesabu jumla ya point katika set zote?
Msaada please
Watu wavivu sana..labda saa ingne lugha!Sisi wa bongo ni wavivu sana take your time tulia soma kwa makini,kwanza advantage yake utakuwa una bet kitu unacho kijua kwa undani,kuliko kuelezewa juu kwa juu
Pa1Mambo mengine unagoogle
Mmmmmmh hapo siuliz tena!Hlf uulize tena..!!
Huo mchezo unachezwa kwa set na ziko 3 per 20 mins au 15mins kwa wengn na saa ingn zinaeza fika hadi set 5 kutegemeana na mchezo/matokeo yalivy...hua hawaonyeshi muda wa mchezo ukiwa unacheza..
Mf...
25+20=45 lbd kwa set ya 1, itakua won kama ulichagua jumla ya hayo matokeo yan over 44.5, otherwise ni red! Hivyo hivy kwa set zingn!
Kama hutaki kucheza kwa set, unaeza cheza kwa total ya full-time iweje!
Kwa jumla ya set yan kuhesabu, maelezo yake ni marefu, unguza M-B usome!
Nb: usiulize tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmh hapo siuliz tena!
Mkongwe na wewe ulikuwa bado upo Betpawa pamoja na kuwa na mikodiInabidi niwakimbie betpawa mambo ya publicity hapana aisee
Hahahaha tupe mrejesho mkuuNabet Mbwa siku hizi
Mkuu mi na deal na first half double chance yaan inatoa sanakuanzia Leo nimebadili gia kuwa hivi:
1.win either half
2.draw no bet
natengeneza treni la sgr kitaeleweka tu
Bala tupu mkuu...sema Kuna trend flani hivi ukiishtukia unakulaa sanaaHahahaha tupe mrejesho mkuu
Baba mbona mm nashinda na matrainMkuu tuwekee hapa ilo trein na sisi tupate morali ,wengine tulishakata tamaa na matrein, na kila siku wanasema huwez win tren hata siku moja