Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yah!! Ni vyema umefanya maamuzi ya kuangalia upande wa pili wa shilingi....anyway volleyball inamfumo wa set kama tennis utofauti unakuja pale kwenye idadi ya point ya ushindi katika kila set. Katika volleyball ili ushinde set, moja lazima ufikishe point 25 na pili lazima umuache mwenzako kwa tofauti ya point 2 na kuendelea. So ikitokea mmoja wamepishana kwa point moja game itaendelea mpaka waachane kwa tofauti ya point 2. Kwenye issue ya over na under unajumlisha tu lakini kitu cha kunote nikuwa Mara nyingi akikutana kibonde na anayejua huwa option nzuri ni under......
 
Tafuta mechi za Handball 7... Weka double chance 12 ... Haukosi 1.5 odds .... Utanishukuru baadae ..... Kama hauamini ... Ingia scoreapp yeyote halafu uangalie hata mwezi mzima mechi ngapi zinatoa droo za handball .... Usiwe na tamaaa
 
Shukran ndugu
 
Mechi za Handball kwa option hiyo ndani ya siku 1 ni ishu, hlf pia changamoto yake nyingine ni zile odd za 1.00001, sasa hapo kufikisha 1.5odd siyo mech za siku 1 tu, ni kama siku 3 au wiki hv hiv!
 
Hyo ni nzur endapo ukiwa auna tamaa
mimi nilisha weka 13 zikatiki
 
Tafuta mechi za Handball 7... Weka double chance 12 ... Haukosi 1.5 odds .... Utanishukuru baadae ..... Kama hauamini ... Ingia scoreapp yeyote halafu uangalie hata mwezi mzima mechi ngapi zinatoa droo za handball .... Usiwe na tamaaa
Good! haya maelezo pia yanaendana na mchezo wa ICE HOCKEY kwa option ya GG kwa mechi 7,,,odd 1.94 au zaidi,,pitia score-app aisee...
 
Sometime Ice Hocky gg hua inazngua labda inayo toa sana ni over 1.5
 
Shida inakuja muda mwingine wana-limit unakuta inaanzia over2.5 muda mwingine hadi over3.5 kulingana na mechi yenyewe,,GG nashauri ligi za russia na canada,ila france huwa inazingua...
 
Mechi za Handball kwa option hiyo ndani ya siku 1 ni ishu, hlf pia changamoto yake nyingine ni zile odd za 1.00001, sasa hapo kufikisha 1.5odd siyo mech za siku 1 tu, ni kama siku 3 au wiki hv hiv!
Hapana mdau... Double chance za handball ya chini ni 1.03 sio hiyo uliyosema ... Naomba niletee hapa double chance ya handbal yenye hizo odds ulizosema ... Ntakupa mtaji wa 50k ... Ndio inanipa hela ..
 
Kuunganisha hiz odds kufika 1.5 ni timu nying sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…