Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
M-bet!!??.Mandezi hao ..hata soka siwezi betia hiyo kampuni ....Tz hii!
Sasa mkuu hiyo kampuni inayoonekana hapo ni M-bet
ahsante wana JF leo nimeweza kujiunga na skrill pamoja na kuitumia kudeposit hela 1xbet yaani ni raha 2pu
Benfica asee
Haiwezekan ni hadi uende kwa shop zaoGalbet natoaje bila msaada Wa Kwenda kwa shop zao
Nataka kutoa pesa GalBet bila kwenda Kwa Shop zao
Mkuu tuwekee hapa ilo trein na sisi tupate morali ,wengine tulishakata tamaa na matrein, na kila siku wanasema huwez win tren hata siku moja
Mwana weka hlo weka hapa tupite naloSio kweli, jumapili niliweka timu 14 na zote zimetoa, leo jumatano nimeweka timu 15 na zote zimetiki
Umeona mambo ya direct win mzee? Napoli huko kapigwa swaaafi!Leo game za ushindi
Celtic
Liverpool
Rangers
Young boys
Chelsea
Madrid
Atletic madrid
Napoli
Psg
Hakuna mchawi hapo