Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka wako niliugawanya Mara Tatu...ndo mmoja ukatiki....Hapo ndo unapoamini kua hakuna Betting ya Uhakika Asilimia 100...Ni kubahatishana tuuuView attachment 1216199
Kama uliweka timu za jamaa tu iliyozingua ni moja tu mkuu sasa unagawanyaje mara tatu hlf mmoja ndio utiki badala ya miwili we uliweka na matim yako mengne uwongo sio

Mimi niligawanya mara 2 ukatiki mmoja
 
Mimi niligawa ivyo na nikaongeza moja ile ziwe 6 kwa 6 maana jamaa aliweka 11 inamaana ningegawa mara tatu ingetiki miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…