Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Habari mkuu,Naona na 22bet wameamua kuunga mkono juhudi za 1xbet.
Sasa kiwango cha chini kutoa kwa VISA na MASTERCARD ni US dollar 1.5 ambayo ni sawa na 3500
Uking'ang'ania kampuni za 20% utakuwa umependa wewe tu.
Andika hapa kama ni maswala za kubet. Pm haifanyi kazi ina karibu miezi mitano.Habari mkuu,
Najaribu kuku pm nashindwaa kuna kitu nataka unisaidie one time
[emoji3][emoji3][emoji3]Andika hapa kama ni maswala za kubet. Pm haifanyi kazi ina karibu miezi mitano.
Usije kuwa ni staff wa bookie wa bongo unataka unipige biti!
Game za jana uliziona mkuu?? Me mbona nikicheki sibahatiki kuziona.Ligi ya bongo imo 1xbet
Bet365 hua wanaweka sema sasa link yao kwa ukanda wa huku kwetu wameifunga, ni kama ilivyo kwa Betvictor walivyofunga link ya website yao kwa ukanda wetu hukuGame za jana uliziona mkuu?? Me mbona nikicheki sibahatiki kuziona.
Hua zimo Mara chache sanaGame za jana uliziona mkuu?? Me mbona nikicheki sibahatiki kuziona.
Mara 3 si unge wn mikeka miwili?Mkeka wako niliugawanya Mara Tatu...ndo mmoja ukatiki....Hapo ndo unapoamini kua hakuna Betting ya Uhakika Asilimia 100...Ni kubahatishana tuuuView attachment 1216199
Hahahaaaaaaaaa MPWAA msameheee anajihami inbox kuna vituko sanaaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Ningekua staff hata nisingekutafuta chief mana ningekua nakula tuu faida zenu ila m ni mbetiji tuu na kubet na mihangaiko yake ndo kumenifanya nikufate huko pm. Kanji anapiga hadi unaona adui yako ni makampuni ya kibongo.
Nilikua najaribu kudeposit 1xbet kutumia skrill sasa nikatop up dola 5 kwenda skrill kutumia mpesa MasterCard najaribu kuipeleka kwa mrusi inagoma sasa nlikufata pm ili nikuombe nijaribu kukutumia kwa skrill yako then wew unirudishie mana nimeambiwa hela inayotoka mpesa MasterCard haiwez kutumika kwa gambling.
That's all bro
Hii option mbona kwenye 1xbet siooni??Mimi niligawa ivyo na nikaongeza moja ile ziwe 6 kwa 6 maana jamaa aliweka 11 inamaana ningegawa mara tatu ingetiki miwiliView attachment 1216225View attachment 1216226
Nielekezen jinsi ya kujiunga 1xbet jamanHii option mbona kwenye 1xbet siooni??
Poa poa mkuu.Hua zimo Mara chache sana
Hapo Dawa ni VPN.Bet365 hua wanaweka sema sasa link yao kwa ukanda wa huku kwetu wameifunga, ni kama ilivyo kwa Betvictor walivyofunga link ya website yao kwa ukanda wetu huku
Hauwezi nenda shop kwao.. Kende sana wale jamaaMsaada.
Jinsi ya kuwithdraw Galbet Bila kwenda Kwa Shop zao...Msaada please
Vinahesabika vipindi vitatu tu vua dakika 20 jumla dakika 60. Wakienda OT IMEKULA PANDE YAKOKwenye icehockey je kama nimeweka double chance ya 12 then hadi mwisho mechi imeisha 1:0 ila kwa overtime or penalty hapo nakua nime win?
Mkuu mtoto wa nzi msaada hapa.
Bado anangoja au ....Utangoja sana mkuu. [emoji23] [emoji23]