Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,595
Saivi mimi nabet first half double chance na tafuta mechi nne tu napata 2odds naweka 100k kiukweli tangu wiki iliyo pita sijapoteza hata moja
N:B Sichagui ligi kubwa.
Mara nyingi naweka mfano laliga 2
Nipo mkuu
Hii Betpawa au?Kwa leo tunatoka hvyo....View attachment 1218424
Hii Betpawa au?
Poa Mkuu,Parimatch
Poa Mkuu,
Naweka 3+ hapo
Kampuni gani Hii watumia kubet ?Saivi mimi nabet first half double chance na tafuta mechi nne tu napata 2odds naweka 100k kiukweli tangu wiki iliyo pita sijapoteza hata moja
N:B Sichagui ligi kubwa.
Mara nyingi naweka mfano laliga 2
Pole sana mkuu EPL niliwakagua nikaona wanafanya sub kimagumashi so sikutembea nao Jana kabisa...Leo nimetembea na team 10, 5 tayar zimeshatoa 5 zingine nazisubiria. Nimetembea league ya Italy, Hispania, uholanzi, na German huku ndo angalau team zinakuwa zinafanya sub sanaSo sad game ya watford ndio imeniumiza leo kwenye sub. Ila spurs ya mwisho ilikuwa ya wanyama dkk ya 90+3
Poa mkuuHuwe unanitag mkuu
Mpaka sasa hizo hapo mwanzo zimetoa.Huwezi kosa pesa ukichukua baadhi apa
Direct win
Fc Basel 1
Connah Q 1
PSV 2
Over 2.5
Rapid Vienna
Lazio
D/Kyiv
Double chance
Leicester 1x or win either half
St. Liege win or draw & over 1.5
Ludogorets win or draw & over 1.5
Btts-Yes
V/plzen vs S/Prague
Az alkmaar vs herarcles
Mbona haya maswali ya hivi hayakauki humuMazee njia gani ni ya rahisi na haraka kudeposit na kuwithdraw pesa kwenye 1xbet
AZ AL KAMAR
1/1
2.30