The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Mim niko huku duniani ndy mana nauliza..kwa hapa Moshi hakuna ofisi zao ila Arusha ndy ipo ndy imebd niulize ili kama kwa line ya simu itawezekana..vp makato yao kwa huduma za simuBancabc wana mawakala wao baadhi ya maeneo hapa Dar... Vilevile unaweza kuweka pesa kwa kutumia tigo pesa, mpesa, halopesa, Airtel money bila tatizo lolote tena faster tu...
Yah,ndo raha ya pmbet,sidhani kama nitawahamaNilibet kwa 15000 na nimepewa free bet ya sh. 15000 so hakuna loss hapa ndo unaona raha ya playmaster unapoweka game kuanzia 10 na moja ikaloose
Mkuu pm bet kutoa pesa hakuna shida? Je waweza toa kupitia mpesa, tigpesa nk?Nilibet kwa 15000 na nimepewa free bet ya sh. 15000 so hakuna loss hapa ndo unaona raha ya playmaster unapoweka game kuanzia 10 na moja ikaloose
Mim niko huku duniani ndy mana nauliza..kwa hapa Moshi hakuna ofisi zao ila Arusha ndy ipo ndy imebd niulize ili kama kwa line ya simu itawezekana..vp makato yao kwa huduma za simu
Vp si ninaweza pia kutoa kupitia mpesa..yan hela itoke kweny card ije kweny line ya simu mfn mpesa ili niipateMakato ya kutuma kutoka tigo pesa au mpesa kwenda kwenye card yako ni ya kawaida tu tena kama kwa halopesa ni cheep sana 19000 wanakata 1000,kutoka kwenye card yako kwenda 1xbet ni free transaction
hiyo ikoje mkuu mbona Mimi treni LA timu 20 inachana moja na sirudishiwi stake yanguYah,ndo raha ya pmbet,sidhani kama nitawahama
Kumbe hata zikianzia game 10 alafu ikalose 1 unapata freebetNilibet kwa 15000 na nimepewa free bet ya sh. 15000 so hakuna loss hapa ndo unaona raha ya playmaster unapoweka game kuanzia 10 na moja ikaloose
Brother kama hawaja kupatia freebet nenda PmBet pale livechat ukawatumie namba ya huo mkeka chap kidogo utagaiwa freebet yakohiyo ikoje mkuu mbona Mimi treni LA timu 20 inachana moja na sirudishiwi stake yangu
Mgao hata wa bundle hutuusu manSportpesa jackpot tayariii
Mgao hata wa bundle hutuusu man
Vp umempga jackpotWatu wana bahati mkuu...tuongee tu tupunguze makaliii
Vp si ninaweza pia kutoa kupitia mpesa..yan hela itoke kweny card ije kweny line ya simu mfn mpesa ili niipate
Sasa inabidi nivunje ushemeji wa kutompiga kanji weekend kwa miezi sasa ya kutosha imepita
Shukrani!Bila shaka mkuu
Jungle Fighter amejibu vizuri,pia uwe unarefresh kwa ile "CHECK" mikeka yako,,bilashaka unatumiaga na units kubetia,,zile zinazoongezeka kila baada ya kuplace bet na ku cancel bet,sindio?hiyo ikoje mkuu mbona Mimi treni LA timu 20 inachana moja na sirudishiwi stake yangu
Ndiyo mm natumia mpesa hapa nilipoMkuu pm bet kutoa pesa hakuna shida? Je waweza toa kupitia mpesa, tigpesa nk?