Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ngoja tuone kanji km atakuwa muungwana kwangu.
 

Attachments

  • Capture.GIF
    63.4 KB · Views: 29
Leo naweka buku ten tuu
Slavia Prague vs Borussia dortmu -2
Genk-Napoli ---2
Liverpool. Vs Salzburg---1
Barcelona Vs inter--1

Nb Chelsea Leo atapigwa gori nyingi zaidi ya zile za majinga Yale Tottenham
Mkiliwa mnakuja humu kulalamika vipigo vimezidi

Bro usoamini kwenye direct win shiling hua linapinduka mda wowote
 
Mkiliwa mnakuja humu kulalamika vipigo vimezidi

Bro usoamini kwenye direct win shiling hua linapinduka mda wowote
ayaaa Chelsea nimempa direct win mbona unanikwanza mzee mapema hivyo....duuuuh
 
Odd za Liverpool zina nitisha ukilinganisha na timu anayocheza nayo
 
Kama una 1m basi laki2 ya bure hii
Kama una laki1 basi elf20 ya bute hii
 
Napoli siwaelewi magori hakuna wala ushindi hamna... Ninamashaka nao waka chomoa betri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…