Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jinsi ya kutoa hela kutoka Urusi mpaka kukufikia mkononi bila kutumia gharama.
1. Withdraw kutoka kwa mrusi hadi kwenye kadi yako ya VISA
2. Ikishaingia nenda kwa mfanyabiashara yeyote mwenye LIPA hapa na SELCOM/MASTERPAS, mwambie kabisa unachotaka kufanya.
3. Ingia kwenye menu ya kadi yako kisha fata utaratibu wa kulipia
4. Umekwepa 20% ya serikali, umekwepa kodi ya kutoa kwa mpesa, atm pia. Haya mpoze buku mwenye selcom.
 
😀😀😀😀
 
Naona kwa mrusi Withdrawal via VISA iko temporaly unavailable! Au huko kwenu shwari??
 
Nilikuwa natumia safaricom, nayo naoana bila bila saiv

Vip we unatumia njia gani??
Zungukia bitcoin sema bitcoin ya kikuda sana.. yan 10000 itaingia 7500 kweny account na hapo umetuma10000 kama 10000 bila kato lolote!
Tafuta kadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…