Daah nipo mkoa halafu huku hakuna banc ABC aiseeCard Ya BancABC Prepaid Visa Card Mkuu!
Nenda Na 15000/= Kwenye Tawi Lao Ukiwa Na Kitambulisho Cha Taifa.
Hata cha kura tuuu!Card Ya BancABC Prepaid Visa Card Mkuu!
Nenda Na 15000/= Kwenye Tawi Lao Ukiwa Na Kitambulisho Cha Taifa.
Nataka nijaribu NMB maana nimeambiwa nao wako bomba ila naona leo withdrawal ya VISA inazinguaZungukia bitcoin sema bitcoin ya kikuda sana.. yan 10000 itaingia 7500 kweny account na hapo umetuma10000 kama 10000 bila kato lolote!
Tafuta kadi!
Kamata mastercard yao upite hiv..Nataka nijaribu NMB maana nimeambiwa nao wako bomba ila naona leo withdrawal ya VISA inazingua
Vip we umeshawajaribu kupitia kadi??Kamata mastercard yao upite hiv..
Yes natumia Exim prepaid card!Vip we umeshawajaribu kupitia kadi??
2-3 now dah
Fc Astana vs Partizan Beograd βββLeo nimeamka na wazo la 28+ ,
Ngoja nijaribu kuucheza kwa league ya Europa
Goli lipatikane kuanzia 28 minutes !!!!
Ukiwa na lain ya safaricom kenya ni poa mana utaweka hela kwa card na unaweza kutoa kwa njia ya simu, mana zile njia za kutoa kwa simu mda wote zipo ila kuweka ndo shida, ila kwa 22bet unaweka na kutoa kwa njia ya sim safaricom. Hiyo 22bet ni same as 1xbetNataka nijaribu NMB maana nimeambiwa nao wako bomba ila naona leo withdrawal ya VISA inazingua
Hii 22bet unaitumia??Ukiwa na lain ya safaricom kenya ni poa mana utaweka hela kwa card na unaweza kutoa kwa njia ya simu, mana zile njia za kutoa kwa simu mda wote zipo ila kuweka ndo shida, ila kwa 22bet unaweka na kutoa kwa njia ya sim safaricom. Hiyo 22bet ni same as 1xbet
nipo nae hapa tunamyonyoa kanji manyoya kimya kimya humu watu mna gundu π πHivi huyu Void ab initio yuko wapi?
Nishakuambia nifundishe kubet hutaki, kwa nini lakini?!nipo nae hapa tunamyonyoa kanji manyoya kimya kimya humu watu mna gundu [emoji23] [emoji23]
me mbona walaa sibet mpenziNishakuambia nifundishe kubet hutaki, kwa nini lakini?!