Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hali ngumu prematch kutabiri inazidi kuwa ngumu
Navizia inplay
 
Wakuu naomba msaada wa mawazo asee, kanji kila cku anachukua pesa tu, naona kapakiza kunichukua na mm nikawe mfanyakazi wake, Iv humu ndan kuna yyt anayefaham dawa na kuondoa Gundu anisaidie? Make co kwa kichapo hiki kila cku
Ni kuacha kubeti

Au kubeti kinyume cha mazoea yako ya kubeti
 
Mkuu kama ndio unaanza nakushauri achana na hii kitu
Huu ni ulevi kama ulevi mwingine wowote
Wakuu naomba msaada wa mawazo asee, kanji kila cku anachukua pesa tu, naona kapakiza kunichukua na mm nikawe mfanyakazi wake, Iv humu ndan kuna yyt anayefaham dawa na kuondoa Gundu anisaidie? Make co kwa kichapo hiki kila cku
 
Niko kwenye kamari toka 2008 hakuna kamari sijacheza na siachi

Tupo pamoja, napata na kukosa yote maisha, toka ijumaa nimepata laki 6 nilianza na nilitumia 5000 ya kuanzia now nina laki mbili wamerudisha 4 ila siachi kamari ishanipa hela nyingi sana kuacha ngumu kama 500 ishanipa 3m naachaje nimepata hela nying zaid ya nilizopotezaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…