asilimia ngapi apa wazoefuView attachment 1224029
Namsubiria kwa hamu jibu lake linaweza kutusaidia labda ahahahahah
Hii Nzuri SanaChapa ilale, daah kitambo humu, leo natest mitambo tena View attachment 1224054
Wameuza sana wachezajiKuna inaitwa TNS sijui wamepatwa na nini walikuwa jeshi sana sikuhz wanagawa point tu
ivi mnadeposit kwa njia zip wapendwa ?Chapa ilale, daah kitambo humu, leo natest mitambo tena View attachment 1224054
Hii mkuu natumia kadi tu ya bank Mastercard/visacardivi mnadeposit kwa njia zip wapendwa ?
Unachezea pesa naona maana hapo unabahatisha ,kumbuka bet sio bikpNataka niweke 15k hapa wazee ushauri wenu maana kanji kipindi hiki kazoea kupokea tu hataki kutoaView attachment 1224092
Kabla hata game hazijacheza mkeka tayar ushachanikaasilimia ngapi apa wazoefuView attachment 1224029
Unachezea pesa naona maana hapo unabahatisha ,kumbuka bet sio bikp
Dah kumamae walai acha usenge ili jukwaa sio la taarab kama naingia chaka toa facts na alternative kama unayo na sio hiyo mipasho yako matako weweUnachezea pesa naona maana hapo unabahatisha ,kumbuka bet sio bikp
Asante kwa matusi ila sio sababu ya kutoliwaDah kumamae walai acha usenge ili jukwaa sio la taarab kama naingia chaka toa facts na alternative kama unayo na sio hiyo mipasho yako matako wewe
Huyo jamaa sijui katokea wapi aseeIla kuna watu wame kaa kukosoa vya wenzao tu mda wote
Hii platform ipo kusaidiana mtu akiweka mkeka wake penye kurekebisha basi turekebishane kwa usahih kuja tu na kuanza kusema unachezea pesa mara unacheza utoto si njia sahihi ya kurekebishana maana sote tuna hitaji kushinda
Ajabu wanao kujaga kukosoa huwezi kuta tips/mkeka wanao post ili tuweze kwenda wote sambamba
Dah kumamae walai acha usenge ili jukwaa sio la taarab kama naingia chaka toa facts na alternative kama unayo na sio hiyo mipasho yako matako wewe