Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anyway tuache malumbano
The wekeend is here

Kwa wazee wa direct win favor home team
NB.
Team kubwa nying zime toka UEFA ivo tegemea wachawi kutokosekana

Zilina win
Cska Sofia win & ov1.5
Spart Prague win
Suduva win
Flora win

Over 1.5
Liverpool
Norwich

Over 2.5
Salzburg
Suduva
Flora

Double chance
Swansea win or draw
Westham win or draw

Chagua zinazo kufaa hapo huweza kosa pesa
 
Kuna baadhi ya Wageni humu wametuharibia hii thread yetu zamani haikuwa hivi
 
TOTTENHAM ANASHINDA HAND CAP 3 KWA 1

AEK ANTHES ANA TOKA DRAW

GALATASALAY ANASHINDA 1 BILA AU MBILI MOJA DARWA HANDCAP
 
Nikiangalia Liverpool alivyo cheza mechi ya juzi Uefa kutoka goli 3 hadi kua 3-3 ingawa walishinda lakini mechi ya leo namashaka kidogo... Najua leo kuna watu watapumzishwa lakin vilevile Leicester city sio wa kawaida tukumbuke kua walisha wahi kua mabingwa hawa... Ni wazur na hawana mashindano mengi msimu huu huwenda leo wakatumia fursa kwakua Liverpool watakua wanauchovu kidogo.
Liverpool kitakacho wabeba leo ni Home advantage...

Mtazamo wangu tubet magoli na labda Both team to score maana hapa Direct win....sidhan

N.B huu ni mtazamo wangu haikufanyi usifanye maamuzi yako ya kubet.
Bet vile unavyo amin ila sometimes ni vizur pia ukafata ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…