Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Over 0.5 FT
Under 2.5 FIRST HALF

Hizi zinatoa hela kwa wale wa stake "iliyonona"

Odds 1.60 hadi 2.55 ni za kufikia tu
 
Kwanini mhindi kampa inter Milan uwezekano mkubwa wakushinda game kuliko juventus wakati ninaona juventus akiwa strong zaidi..?
 
Booom huu mkeka umetiki vipi uliweka Tsh Ngapi? , leo kanji naona kipigwa za us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…