Duu mrusi nimekosa kikapu kimoja tu Ana bahati sana
wewe unaebet kwa hisia hongeraUnabet kwa MAZOEA
Tunakaa humu leo wawili naomba mniombee na nitawapashavu hapo baadaeView attachment 1224369
We Jamaa una penda ligi tuSasa kama profile Kenya, namba ya simu ya Safaricom utasemaje app ya 1xbet ni tofauti tofauti kulingana na zone uliyopo?????
Nataka hiyo app ya 1xbet Kenya mnayodai kuwa ipo, utumie account zenu za Tanzania kuingia na ukute payment methods za Kenya si ndio mnacho maanisha
Aisee ulijilipua, hongera sanaNataka arudi kwao akalime tu huyu kanjiView attachment 1224689
Kama kawaida yako...hongera![emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]View attachment 1224758
Mniadd kwenye magroup ya kubet
+255678252394
we jamaa ni balaaa tuna ya chai bhasiNataka arudi kwao akalime tu huyu kanjiView attachment 1224689
Hivi ni kampuni gani za TZ ambazo hazina kodi ukiachana na Parimatch na Pmbet
Muue Man cityWale wakuotea odd za kibabe na kuwin tukutane hapa mfno
Aliyemuua
Spurs
Buyern
Lazima alipata odd mlima, leo weken basi hio ktu wakuu