Maoni yangu leo kuelekea game ya chelsea
Kati ya dkk ya 20-35
Mason mount ataiandikia chelsea goal la kuongoza na kupelekea Chelsea kwenda ht matokeo ikiwa 0-1
Kati ya dkk ya 50-75
Southampton watasawazisha na ubao kusomeka 1-1
Dkk kati ya 80 - 90+ Olivier giroud akitokea sub ataiandika Chelsea bao la pili na game kuisha 1-2.
So option zifuatazo leo uhakika 90℅
Chelsea win ht/ft odd 3+
Chelsea win ht odd 2.50+
Highest scoring second half odd 2+
2nd half over 1.5 odd 1.86+
Second half droo (X) odd 2+
Gg & 3+ odd 2+
2nd half gg odd 3+
2nd half cs 1-1 odd 4+
Cs 1-2 odd 7+
Mount to score at any time odd 3+(at ht odd 4/5+)
Substitution player to score odd za kutosha.
🙌🙌😂Kwa mara ya kwanza nimecalculate kupitia nyota.