Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Iplay wana complication sana ila nawapenda sana

complication ipo ukitaka kutoa mara ya kwanza tu lakini baada ya hapo hungaiki na complication kama kwenye m-bet au muhind mambo ya network,namba ya risiti aina na idadi ya michezo,,,
 
Sijawahi toa sababu nimewahi kumpa hela yote nikitegemea ushindi aaah wap kitu draw niliumia sana nilipatwa na usingizi mbaya sana kichwa kikauma sana yaani we acha tu
 
hahahaa pole sana mzee mwenzetu lakini karibia ma investor wote humu tumepitia hii,,,
 
Natamani sana siku moja niwin niweze pata faida

mbona hiyo yawezekana kabisa, tafuta mtaji wako wa maana kama $100 kila siku unatafuta point kama 0.1 ("kwa iplay") ambayo inapatikana kirahisi kwa kuweka game kama mbili over 0.5 goals.

$100*0.1=$110

kila siku unakua unapata faida ya $10...
 
handicap ya leo ilikua Nigeria(+1) nikaweka Draw then Iran (+1) nikampa Bosnia win

matokeo ya leo Nigeria 2-3 Argentina
Bosnia 3-1Iran
jamani hapo nimekula mpunga au?
 
umekula hapo we subiri mpunga kesho. Dau lilikua ngapi uloweka
 
mbona hiyo yawezekana kabisa, tafuta mtaji wako wa maana kama $100 kila siku unatafuta point kama 0.1 ("kwa iplay") ambayo inapatikana kirahisi kwa kuweka game kama mbili over 0.5 goals.

$100*0.1=$110

kila siku unakua unapata faida ya $10...

Ndugu kuweka dollar 100 inahitaji moyo mkubwa sana tena kuibet yote mdo hatari waweza lia.
Ila nitafanya kila kitu nitawin one day, napanga niwe napata 1000 kila week
 
subiri msimu mwez agost utakula sana mkuu ANYbird

Mechi za mwanzoni najua nitakula sana, nitaitumia sana sana iplay kwani wao wanarudisha stake ulyoweka kama ukishinda hizi nyingine mmmmh
 
Last edited by a moderator:
Ndugu kuweka dollar 100 inahitaji moyo mkubwa sana tena kuibet yote mdo hatari waweza lia.
Ila nitafanya kila kitu nitawin one day, napanga niwe napata 1000 kila week
andybird314 dola 1000 kwa week kuna ka mti sasa hapo, either way kila la kheri ndugu uje kutuletea majibu...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…