HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Laki sita
Hongera sana, nakutakia ushindi mwema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki sita
Ndio mara yako ya kwanza au ulishatoa? Kama mara ya kwnz itabidi umtumia picha ya leseni roburt.
Iplay wana complication sana ila nawapenda sana
complication ipo ukitaka kutoa mara ya kwanza tu lakini baada ya hapo hungaiki na complication kama kwenye m-bet au muhind mambo ya network,namba ya risiti aina na idadi ya michezo,,,
Sijawahi toa sababu nimewahi kumpa hela yote nikitegemea ushindi aaah wap kitu draw niliumia sana nilipatwa na usingizi mbaya sana kichwa kikauma sana yaani we acha tu
Natamani sana siku moja niwin niweze pata faidahahahaa pole sana mzee mwenzetu lakini karibia ma investor wote humu tumepitia hii,,,
Natamani sana siku moja niwin niweze pata faida
handicap ya leo ilikua Nigeria(+1) nikaweka Draw then Iran (+1) nikampa Bosnia win
matokeo ya leo Nigeria 2-3 Argentina
Bosnia 3-1Iran
jamani hapo nimekula mpunga au?
M-bet ndugu,nshakula kama laki 3. hiv,mhind kanila 50 si haba
umekula hapo we subiri mpunga kesho. Dau lilikua ngapi uloweka
kwa Mara ya kwanza nimekula 123, 730 niliweka elfu kumi tu....
mbona hiyo yawezekana kabisa, tafuta mtaji wako wa maana kama $100 kila siku unatafuta point kama 0.1 ("kwa iplay") ambayo inapatikana kirahisi kwa kuweka game kama mbili over 0.5 goals.
$100*0.1=$110
kila siku unakua unapata faida ya $10...
Ufaransa wamempa muhindi msimbazi wangu *****
andybird314 dola 1000 kwa week kuna ka mti sasa hapo, either way kila la kheri ndugu uje kutuletea majibu...Ndugu kuweka dollar 100 inahitaji moyo mkubwa sana tena kuibet yote mdo hatari waweza lia.
Ila nitafanya kila kitu nitawin one day, napanga niwe napata 1000 kila week