Mwana zamu
Member
- Jun 9, 2019
- 90
- 122
View attachment 1228271View attachment 1228272
Sijaelewa apo kwenye reference namba naombeni mbisaidie ipi nitumie
Mkuu kumekucha tupe mrejesho
Mimi nimelipa kwa ku2mia tigo ila airtel nimejaribu wanaleta sms inayo onyesha kua sina salio la kutoshaUnatumia mtandao gani?
400700 ila kuhusu kuweka pesa kwa kutumia voda wakati umejisajiri kwa airtel ilo bado sijafaham kama inawezekanaKwenye namba ya kampuni umejaza nini?
Je naweza kuweka ela kupitia m pesa japo nimejisajili kwa airtel?
Sikufaham kama unahtaji namba ya kampuni mimi nilkua nafam unahtaj jina la kampun nduguDah! Sasa mkuu mda wote nauliza mamba yakampuni si ungeniambia ni 400700
Dah! Sasa mkuu mda wote nauliza mamba yakampuni si ungeniambia ni 400700
Hii unatumiwa meseji, sasa inawezekana mfumo wa airtel unazingua. Mi kwa voda haina shida kabisaDah! Sasa mkuu mda wote nauliza mamba yakampuni si ungeniambia ni 400700
Mzee baba jamaa wamerudi! Je watatupa hela au ndo tutaendelea na vilio??Uki taka ku enjoy iz kampuni za nje ama hata za hapa ndani eg parimatch ama nje 1xbet/bet 365
Fanya FULL REGISTRATION
Huta sumbuliwa kutuma namba ya kitambulisho ama kuambiwa utume kitambulisho ukiwa ume shika na ndio maana kampuni kama bet 365 huwezi kufanya deposit kama huja kamilisha Full Reg na hata kweny withdraw wana kwambia kabisa hutoweza kutoa pesa endapo utakua huja kamilisha usajil ivo ni muhimu kwa wakamaria wenzangu kama una tumia 1xbet na uko na ile partial ama temporary reg nenda kweny acc yako fanya ku update taarfa zako uwe full reg life lisonge as usual
Mkongwe vip tena! Kunani hukoMawakala wa betting companies za bongo wanaanza figisu zao.
Uki taka ku enjoy iz kampuni za nje ama hata za hapa ndani eg parimatch ama nje 1xbet/bet 365
Fanya FULL REGISTRATION
Huta sumbuliwa kutuma namba ya kitambulisho ama kuambiwa utume kitambulisho ukiwa ume shika na ndio maana kampuni kama bet 365 huwezi kufanya deposit kama huja kamilisha Full Reg na hata kweny withdraw wana kwambia kabisa hutoweza kutoa pesa endapo utakua huja kamilisha usajil ivo ni muhimu kwa wakamaria wenzangu kama una tumia 1xbet na uko na ile partial ama temporary reg nenda kweny acc yako fanya ku update taarfa zako uwe full reg life lisonge as usual
Mkongwe vip tena! Kunani huko
Vp umefanikiwa au bado wanakuzingua?Mkuu namba ya kampuni ni 400700
Je mmejaribu kutoa hata 5000?