Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ajabu nilowithdraw mara ya mwnzo kwa tigo pesa mulkua nq elf3 ambayo ilibak kwenye Bitcoin nikadeoposit elf3 ucku kwa tigopesa nikaibetia yote ekf6 nikapata elf9900 nikawithdraw elf3500 nilkua natest mitambo wamenikata elf3 kwenye account cjui imeenda wapi elf3 mara ya pili hawakunikata Kuna mtu yyte aliekatwa alipowithdraw mara ya mwanzo?
 
Duuh mkuu andika vizuri. Sijaelewa maelezo yako.
 
fanya kurekodi haya maelezo kwenye simu halafu tupia audio, ili iwe rahisi kuelewa ulichomaanisha.
 
fanya kurekodi haya maelezo kwenye simu halafu tupia audio, ili iwe rahisi kuelewa ulichomaanisha.
Kwenye account yngu nilkua na amount ya elftatu ambayo nilideposit kwa Bitcoin hiyo

Usiku nikadeoposit tena elftatu kwa tigo pesa zikawa elfsita

Nikabet yote elfsita nikawin elf9900

Hapo hapo nikawithdraw elf3500 ambayo amount kwenye account inasoma elf 9900

9900-3500 nikakuta elf2900 kwenye account yngu nyengne zimeenda wapi wakat nilowithdraw elf3500 tu

Mara ya pili nilipodeposit ckukatwa hata shimmia
 
Sorry mara ya pili nilipowithdraw ckukatwa hata shimmia
 
In play will now make sense.....odd zinapaaa tu.....1x the king....Money laundering!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…