Hakuna sababu ya kuandika haya yote ilihali kuandika huku hakumsaidii. Umeshindwa nini kumwelekeza ikiwa ametahadhalisha kabisa kuwa Lugha ni changamoto. Kwa nini tunajiona bora sana kwa wenzetu wakati tu safari moja. Tuachane na roho za ubinafsi.Unakosaje hata akili simple tu ya kuwasiliana nao. Hili ni swali la kijinga kuulizwa. Ningekua adimin ningekutoa kwenye forum.
Thinking capacity yako ni ndogo sana ndugu. Sorry to say that.
Cjajua nafkir ni km vile tennis ukifkisha tu point 25 unakua umewin na set imeishia hapo wanaenda set nyengneSet moja ina dakika ngapi?
Kweli kabisa Mkuu si vyema kutoa maneno yasio faa kisa mtu kuto kujua lugha fulani ya kigeni au kutoelewa jambo fulani katika betting ni bora mtu akaushe kuliko kutoa kejeliHakuna sababu ya kuandika haya yote ilihali kuandika huku hakumsaidii. Umeshindwa nini kumwelekeza ikiwa ametahadhalisha kabisa kuwa Lugha ni changamoto. Kwa nini tunajiona bora sana kwa wenzetu wakati tu safari moja. Tuachane na roho za ubinafsi.
Kumbe! Ndiyo maana nilikuwa najiuliza mbona hawaoneshi muda wa set kumbe ukifika 25 kabla ya mwenzako unakuwa umeshinda.Cjajua nafkir ni km vile tennis ukifkisha tu point 25 unakua umewin na set imeishia hapo wanaenda set nyengne
Atakayewah kufika 25 points ndy mshind na tofaut iwe 2 baina yao..yan 25 kwa 23 au 25 kwa 19 au 27 kwa 25 nk...zikiwa 25-25, watacheza hadi utofaut wa point 2 uwepo, wanaeza fika 29-31 kwa set 1. Hivyo hakuna limit ya muda kama basketball.Set moja ina dakika ngapi?
Atakayewah kufika 25 points ndy mshind na tofaut iwe 2 baina yao..yan 25 kwa 23 au 25 kwa 19 au 27 kwa 25 nk...zikiwa 25-25, watacheza hadi utofaut wa point 2 uwepo, wanaeza fika 29-31 kwa set 1. Hivyo hakuna limit ya muda kama basketball.
i think 1xbet company is best of the best!jamani msaada kampuni gani lakubet ambalo lina turbo cash out ukiachana na meridian maana app yao inazingua san
na ukija pmbet wenyewe wana cash aut hadi ubet laki
Kanji kachoropokaa...View attachment 1229772
Nilichotaka sio mawasiliano nao kaka nilichotaka mimi ni expirence ya hili jambo kama kuna watu limeshawahi kuwatokea mbona ubongo wako finyu hakuna asiye jua kama kuna mawasiliano ila watu wakija kuuliza sio kama hawajui ila wanataka kujua kama je kuna watu limewatokea zaidi unawaza karibu sana embu jifunze kuangalia mbali mr adimin mwenye upeo mkubwaUnakosaje hata akili simple tu ya kuwasiliana nao. Hili ni swali la kijinga kuulizwa. Ningekua adimin ningekutoa kwenye forum.
Thinking capacity yako ni ndogo sana ndugu. Sorry to say that.
Ibrahim fanya yaishe kaka nadhan mzee baba hakufikiria kusema kwake hivyo it could hurt your feeling so bad!Nilichotaka sio mawasiliano nao kaka nilichotaka mimi ni expirence ya hili jambo kama kuna watu limeshawahi kuwatokea mbona ubongo wako finyu hakuna asiye jua kama kuna mawasiliano ila watu wakija kuuliza sio kama hawajui ila wanataka kujua kama je kuna watu limewatokea zaidi unawaza karibu sana embu jifunze kuangalia mbali mr adimin mwenye upeo mkubwa
Dah tuwangoje tuu,,leo machimbo yangu mengi siyaelewiiHuyu ni mrusi baba sio khanji
Campo Bet wametuacha dilemma leo
Ibrahim fanya yaishe kaka nadhan mzee baba hakufikiria kusema kwake hivyo it could hurt your feeling so bad!
umekuwa sheick yahaya? correct score? hiyo ni sawa na kucheza yale mamichezo ya mbio za farasi au mbwa ni pure kamariTURKEY vs ALBANIA
CORRECT SCORE: 2-0
ODDS: 6.30
No need to be sorry kaka binafsi sioni kama umekosea lakin nimeingilia tu kuleta peace 🙂!Dah poa kaka naomba mnisamehe kwa maneno yangu kamali nisameheni sana
OK.umekuwa sheick yahaya? correct score? hiyo ni sawa na kucheza yale mamichezo ya mbio za farasi au mbwa ni pure kamari