Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada wa ufafanuzi hapo wazee,
'Both teams to score in atleast one half- No.
View attachment 1229857
Wasifungane ndani ya kipindi kimoja!
Yaani dakika 45 za kwanza apate mmojawapo au wakose wote.
Na 45 za mwisho apate mmojawapo au wakose wote.

Isitokee wote wakapata magoli ndani ya dakika 45 za mwanzo kwa pamoja au 45 za mwisho.
 
Samahani, naomba kueleweshwa zaidi kwenye hii option.

NB: Kwa mimi nilivo elewa kwamba lisifungwe goli kwa utofauti wa dakika kadhaa, je mfano goli likipatikana dakika ya 3 na lingine likaptikana dakika ya 28, wakati huo mimi nilichagua hakuna goli kwa utofaut wa dakika 13.5
 
wakuu name deposit 1x nmepewa bonus vipi naionaje iyo bonus na matumizi take yako vipi
 
NAOMBA WOTE TUSOME

Tujifunze Kukubal Vile Ambavyo Watu Sana Share Humu, Hata Kama Wewe Unaona Pumba But Appreciate Na Kaa Kimya
Kuna Watu Humu Wanahangaika Kufanya Analysis Binafsi Na Kupita Kwenye Mitandao Kukusanya ODDS na Info Then Wana Share Nasi,
Kuna Wanacholipwa Hapa?? Jibu Ni Hapana Wanafanya Kwa Sababu Sio Wabinafsi Na Wanaamin Sis Ni Wamoja, Tuna Win Na Tuna Loose

Kuna Tabia Imekuja Mpya Humu Jukwaani Ya Kuisema Mikeka Na Mawazo Ya Watu Pasipokuwa Na Lugha Isiyo Na Staha, Lugha Ya Maudhi

Nawashauri Tuache Huo Mchezo, Tutakosa Vingi Na Tutashusha Hadhi Ya Jukwaa Hili.

Ukiona Mtu Kaweka Hapa Mawazo Yake Iwe:
CORRECT SCORE
CORNER
NORMAL

Wewe Pambanua, Vinavyokufaa Chukua Visivyokufaa Acha, Na Kama Kuna Ulazima Wa Kumpa Mawazo Yako Basi Yatoe Kistaarabu Sio Kumkatisha Mtu Tamaa Au Kumuonyesha Yeye Ni Boya Na Wewe Unajua Sana.

KUMBUKA

Kila Mtu Anatoa Pesa Yake Mfukoni, Ana Simu Yake Na Betting Haina Kings Only Legends.
 
ICELAND V FRANCE

2

1.51

CZECH REPUBLIC V ENGLAND

2

1.64

ODDS 2.43

Ngoja niangalie video za Menina mtoto mweupeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…