Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi nimehangaika nao jana tangu asubuhi jioni wakani editia chamsingi watumie kitambulisho chakoo then waambie unataka ku edit chap tu watakusaidia
 
wadau nimeanza kutumia 1xbet leo ila kwenye kudeposit inagoma,natumia voda,ile refence namba nikiweka inagoma na pia sipati sms ambayo ndo reference
 
Who cares
 
Kama ukitumia app,ukitaka ku top up,inapotokea logo mfano m- pesa ,bonyeza comfim yatatokea maelezo uende kwa kubofya *150*00# nk.shusha kwenye reference namba utakuta wamekuwekea,kopi hizo namba pembeni kisha utaxijaza mara utakapofikia baada ya kujaza namba ya kampuni ambayo ni400700,( hizo namba reference zinabadilika kila unapotaka ku deposit).
wadau nimeanza kutumia 1xbet leo ila kwenye kudeposit inagoma,natumia voda,ile refence namba nikiweka inagoma na pia sipati sms ambayo ndo reference
 
Pole Sana Mkuu Maana International Games Hazijakuacha Salama


Ila Asante Tumepokea Options Zako Boss
 
Jamii Forum ni social media and people re socialized pia Jamii Forum ina categories na hii watu wamependekeza kuzungumzia betting sports na bookies sasa what's wrong with that mzeee baba?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…