Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tupia hapa tufaidi wote maana jukwaani hatununui wala kuuuza odds so weka tujaribu bahati zikitoka tutajua cha kufanya tukubaliki kwa hela ya bia na nyama choma.
kumbe mimi nmetoa makopo kuzipata basi kaa ivyo ivyo na odd zako 5
 
kama mpuuzi si ungekausha tu mbona unateseka kabla sijasahau mpuuzi ni mama ako
Acha kiherehere tulia rudi facebook huko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
mbona inakuuma sana mkuu Ndu
Inaniuma sana kwa kuwa unataka kutuibia pesa zetu,hasa kwa wale ambao ni wageni huku!

Kama unauhakika na hiyo bet exclusive na hutaki kushare hapa,nenda benki kakope hata milioni 50 kisha weka mkeka,subiri mamilioni na sio kutaka sisi tukuchangie vipesa vyetu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
if interested inbox me nimezinyaka sehemu
EXCLUSIVEView attachment 1231548

Aje inbox ili umwambie alipie?
Kama unauhakika na iyo kitu yako kopa ata kwa rafiki ako au ndugu mwambie kuna pesa ya bure weka milioni utajirike , hakuna mwanadamu aliye na huruma akupe dili la pesa akaacha jitajirisha mwenyewe
 
acha umbea si ukakope na wewe umuweke Bondi ata mmeo tu upate hela sio kuleta umbea hapa shwain kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…