Code- UE9TQ
1Xbet odd 10
Tunawekaje code sie wa 1XBETCode- UE9TQ
1Xbet odd 10
Tumia tuu link!1xbet na 22bet kwenye apple zinasumbua sana kuinstall
nikwambie tu we ni mwiZi..lakini pia na nyie wapenda vya bure kwa excuse ya kujifanya hapa jukwaani huuziwi wala kununua odds baki ivoivo na kupenda kwako vya bure..that why your fucking betting account is free indeed...fixed zipo..ila sio kama za huyu batamzinga hapa anaejaribu kuibia watu...we jamaa ukome na ukirudia nakutongoza pmscamer mkeo sio mimi
mbona simple tu, nenda pale kwenye reguest call watakupigia utawaeleza shida yako, watakumba kitambulisho cha taifa au cha kupigia kura, watalekebisha ndani dk ziro. tatizo wale wanaolalamika ni wale wenye usajiri nusu.Wengine wanatoa fresh shida iko kwangu tu kutoa wanataka niingize code iliyotumwq kwenye simu yangu ila hiyo code me siipati
Nimeweza kuweka code ya rafiki kwa kwenda pale kwenye PLACING A BET kisha utakuta sehemu tupu imeandikwa load bet weka CODE kisha download matches zitakuja.Tunawekaje code sie wa 1XBET
uyo jamaa ni somalia sana(njaa kali)....hapo alipo ata ukimpa yeboyebo aweza kunywa na chai[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],maskini, ukiona mtu anatukana sana ujue ana depression kubwa mno.
Sina kingine zaidi ya POLE SANA MKUU
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji4][emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji4][emoji4][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sina kitambulisho chochote. Halafu kingereza cha kuongea me siwaelewi. Ila ingekuwa kuchart pale sawa. Maana na wao wananiambia hivyo hivyo ni request wanipigie.mbona simple tu, nenda pale kwenye reguest call watakupigia utawaeleza shida yako, watakumba kitambulisho cha taifa au cha kupigia kura, watalekebisha ndani dk ziro. tatizo wale wanaolalamika ni wale wenye usajiri nusu.
Mziki unaanzia hapoSina kitambulisho chochote
Mbona wala sio hela nyingi mkuu. Ni 50k tu.Mziki unaanzia hapo
Jaribu kutoa kiasi kidogo mkuu
basi mengine mnasababisha wenyewe wakiziban pesa zenu mnaeneza taarifa za kitaperi. ile ni kampuni lazima ufuate vigezo na masharti.Sina kitambulisho chochote. Halafu kingereza cha kuongea me siwaelewi. Ila ingekuwa kuchart pale sawa. Maana na wao wananiambia hivyo hivyo ni request wanipigie.
Mwanzo nilikuwa natoa bila mizengwe.basi mengine mnasababisha wenyewe wakiziban pesa zenu mnaeneza taarifa za kitaperi. ile ni kampuni lazima ufuate vigezo na masharti.
Mbona kwenye kudeposite huo ujinga hatuulizwi wala kusumbuliwa.nakumbuka mwezi uliopita parimatch niliwon 46k, pesa kutoka nilisumbuka sana waliomba niwatumie kitambulisho cha taifa au cha mpiga kura na majina niliyosajiria kwenye namba ya sim viendane kwenye kitamburisho. embu fikiria kama ningekuwa sina hivyo pesa yangu ningepata?