Mi nasikilizia nile kwanza kisha nitoe,ikikataa ndio nawapiga chini.ikikubali naendelea nayo.ngoja tu...Kuna mdau amezungumzia makampuni ya nje yasiyosajiliwa hapa Tz lakini watu wamemponda mno,tuwe makini wadau. Mimi ninaamini tulio wengi humu tunatafuta maisha kupitia kubet,na tunaumiza vichwa sana kuanzia kutafuta mtaji wa kubet mpaka kutengeneza mikeka yenyewe. Iko hivi,kuna siku mtu atawapiga hawa jamaa hela ya ukweli ila akashindwa kuipata na asiweze kufanya chochote akabaki anaugulia maumivu tu. Ushauri wangu ni bora kukomaa na makampuni yaliyosajiliwa nyumbani ambayo akina Tarimba watakusaidia yakileta longolongo kuliko haya yasiyosajiliwa. Ni kweli makampuni yetu yana option ngumu ila kamari ni kubahatisha iko siku unaweza tusua kupitia haya haya makampuni yetu. Msinichukulie vibaya washkaji na wala siipigii promo kampuni yeyote ya kibongo ila ni mtazamo wangu tu,ninaweza kuwa sahihi au nimekosea.
Kwa nchi yetu ID za taifa ndy kwanza tumeanza juzi..kama mimi ndy nimejiandikisha wiki hii, sasa kwa nch zingn ni siku mingi sana wanazomakampuni ya kimataifa wao uthibitisho mkubwa wa mteja ni NATIONAL ID. Na ndio maana ukiona huna kitambulisho cha taifa na una ndoto ya kupiga pesa ndefu, kaa mbali na haya makampuni, utakuja kuwatuhumu utapeli.
Option km hizi ndio tunazifata huko cjawah kulost mkeka wowote wa odds 2 kwa option hiii this is my best option everkwaiyo kama imerudi,?
Mwenye laki yake atafute odds mbili kwa match mbili kwa hi optionOption km hizi ndio tunazifata huko cjawah kulost mkeka wowote wa odds 2 kwa option hiii this is my best option ever View attachment 1231970
Mzee una onaje uka chukua mkopo bank kisha ukatia pesa kama zote kwenye izo correct score maana uana sema uhakika kwako ni 100%kumbe mimi nmetoa makopo kuzipata basi kaa ivyo ivyo na odd zako 5
Unaitoa unaipeleka wapi tena
Mtu anakuita chemba akuuzie odds 154 kwa laki 1, wakati aki weka tu dau la 10,000/= kwenye hizo odds zake anapata 1.54Mil. Kweli wajinga ndo waliwaoMzee una onaje uka chukua mkopo bank kisha ukatia pesa kama zote kwenye izo correct score maana uana sema uhakika kwako ni 100%
Iki bidi sambaza huo upendo kwa ndg zako wa karibu mtajirike wote
NB..
Ukiona una itwa kwenye Fursa(inbox) basi ujue we Ndo Fursa yenyewe
Hivi na kitambulisho cha mpiga kura wanakikubali??Ni kwa ajili ya usalama wako. Wanahisi labda anaweza akawa anawithdraw mtu mwingine. So wanahakikisha pesa imfikie mlengwa.
Wewe hapo inavyoonesha tatizo ni namba yako kutokupokea sms ya uthibitisho kutoka kwao, ila mfumo wa miamala unatuma kabisa hiyo msg yenye code.
Jaribu kutumia vivivinjari tofauti kama ulitumia app, au tumia app kama ulitumia kivinjari. Logout kisha login na urudie zoezi tena.
Mimi kuna kipindi nilipata shida kupitia MELBET hela ilikuwa haifiki bank zaidi ya siku 10, I requested call but kingereza chao ikawa shida tupu kwangu, nikawaambia lugha yao napata shida kuielewa, akanipigia operator na namba ya South Africa ndio tukaelewana. Ila akikupigia simu atataka umpe namba ya NATIONAL ID tu ili kuthibitisha kama ni wewe kweli.