Kama mtu kitu anakijua si awabie tu wenzake japo kwa juu mm Sina ujuzi wa basketball kiivo ila nikicheza nafnya ivi
Basketball Kuna quarter 4 kwaio naweza kucheza 1 quater maybe over 38.5, 39.5, 40.5, 45.5, 50.5 unaselect option zpo over na under na quater 2,3,4 hivo hivo unacheza na akili yko na uzoef wa match hiyo kwenye NBA utawakuta kina golden worrious, Toronto raptors na wengine wengi
Chengine Kuna option ya home team to win quater 1,2,3 au 4 ama away team
Chengine Kuna option ya I half to win home or away au home team over 40.5 in I half au away to win 30.5 I half au second half au I half over 60.5 for both team hapa
Ujue kuwa kila quater inachezwa for 10 minutes sometimes Kuna na over time hapa Sina idea sana na over time ila kwa nilzoona Kuna 2 minutes kwaio kila quater km kutakua na over times ya 2 minutes bac itwkua 12 minutes so wakimlza 10 minutes wanaenda 10 minutes hizo ni quater 2 kwa 20 minutes wanaenda break wanarud kumalzia 10 minutes na 10 minutes zinakua 40
Utakuta chengne Kuna full time Kuna inclusion over time 130.5 140.5 180.5 200.5 215.5 n.k
Ama utakuta full time home team inclusion over time 90.5 ama away 70.5
utakuta then Kuna home team to win full time and over 98.5 inclusion over time au home team to win and 98.8 and away team vise versa
Utakuta Kuna even and odds hizi unaselect kua home team to win odd or even au full time odd or even ( kagoogle ujue shufa ipi na witri) Yani namba zinazogawanyika kwa mbili na ziczogawanyika
Utakuta double chance half time or full time utakuta handcap pia
HIZO NI BAADHI YA OPTION MAARUFU AMBAZO MM NIMEKUTANA NAZO MENGNE JARIBU KUGOOGLE HUKO UONE ZIPOJE MFANO UKIINGIA GOOGLE KUULIZA SUAL LOLOTE LA BASKETBALL MFNO TIME AU BREAK UNAJIBIWA MM NAYAJUA JUA HAYO