Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha jus hahahah
Huyo Chichi Ndo kabisaa Group alilifanya kama Ikulu mama£ kuna group moja nipo Nae na mm ndo admin ila hajui coz natumia jina jingine na yeye anajiita lile lile jina lake na namba yake niliisave akijichanganya tuu Nashuka nae jumlajumla
 
Tapelli tu kala ela z rambirambi na kuwatapeli wadau mle hahahaha kundi la kinafki sana mle....wapenda madesa ndo anawatesa na kund.u lake
Huyo Chichi Ndo kabisaa Group alilifanya kama Ikulu mama£ kuna group moja nipo Nae na mm ndo admin ila hajui coz natumia jina jingine na yeye anajiita lile lile jina lake na namba yake niliisave akijichanganya tuu Nashuka nae jumlajumla
 
Mimi ni jeshi la mtu m1. Kwa % kubwa kile nachofikiria kwenye game ndio wengi pia wanafikia hivyohivyo.

Kwa mfano game ya leo ya france na turkey, ina option kama 4 ambazo lazima zitoe. Hapo unatakiwa kuangalia ipi ina points nyingi.

France hii game anashinda. Points ni 1.42.
France anashinda n U 4.5. Points hapa ni 1.51.
Turkey goals ni U 1.5. Points hapa ni 1.17
Na mwisho france anavua mtu cap. Cap 1.86.

Kwenye hii game zote zinatoa hizo. Kwa hiyo mara nyingi tunaobet tunabet kwa kufanana sana.
 
Jamani nani ameshafanikiwa kutusua angalau kuanzia M5 tangu 1xbet mobile imerudishwa ili tuone kama ku withdraw haina changamoto ili sisi washindi watarajiwa siku tukibahatika tusihangaike
 
Mi upepo unakwenda vizuri,kama nikila leo ntaleta mrejesho kama inatoka au haitoki.kama haitoki siwacheleweshi,narudi sportpesa.
Jamani nani ameshafanikiwa kutusua angalau kuanzia M5 tangu 1xbet mobile imerudishwa ili tuone kama ku withdraw haina changamoto ili sisi washindi watarajiwa siku tukibahatika tusihangaike
 
Niko bar hapa nasubiri France na Serbia wafunge nitoe hela nilipie bia ila mbona hawafungi sasa ety,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…