Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nawasiliana nao muda huu, walinifungia kwa multiple akaunti,
Nimewaomba, Sasa wameomba I'd nimewatumia, Nasubiri verification yao tu
Hiyo issue ya multiple id ilikuja baada ya kujaribu ku withdraw? je! inakuwaje mtu afungue akaunti mbili na sababu ni nini?
 
Hiyo issue ya multiple id ilikuja baada ya kujaribu ku withdraw? je! inakuwaje mtu afungue akaunti mbili na sababu ni nini?
Mwanzo mkuu kulikuwa na usumbufu wa kudeposit, nafikiri
Nikashawishika kufungua akaunti ya 2.

Walipoondoa mobile payments nikaachana nao.
Sasa wamerudi naingia kwa akaunti zangu zimekuwa blocked
 
inanitokea mimi tu au na nyie,france v turkey nilitaka niweke gg,sijui shetani gania akanipanda nikaweka 025,nikataka nimpe kosovo,nikaweka 025 wakati nafanya muamala..laki laki tatu niliyoweka mhindi kaichukua kilainii
 
Siyo wewe tuu Mimi nilikuwa hadi nishaanza kuitumia hela nilikuwa tashinda tuu ila ndiyo hivyo ,,na mikeka mingi imechanika kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…