Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiii ni option nzuri je nyie watumiaji wa hii kitu haiwasumbui kuwithdraw draw kweli maana niliwai ona mtu akilalamuka sijui mpaka ueke code
Atakua haja activate account mm cjawah kudaiwa hiyo code then mm csubir Hadi pesa zngu ziwe nyingi strategy yngu nikiweka elf5 ikifka elf10 natoa elf5 kwenye account yngu lzma kwa cku nitoe elf 5 na ibaki elf5 then ndo naangalia mahesabu mengne
 
Kama hukusoma topic ya LOGIC(Advanced Mathematics) na pia Rate & Variation olevel basi usithubutu kubet utapigwa mpaka uchakae[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabdi nikazisome upyaa mkuu maana bado nachakaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hahahaha ingekua rahisi hvyo ungekuta namalizia mjengo masaki kulee kwa pesa ya kanji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
msaada 1xbet" you have already placed bet kweye match flani" nikitaka kuweka mkeka mwingine huo ujumbe unakuja..naondoa vipi hili tatizo
 
Mda mwingine huo mkekA mpya unakuwa umeungana na uliokwishaweka,je odds huwa haziko high kulingana na machaguzi ya mkeka wa pili? Futa mabaki ya mkeka wa kwanza kwenye betslip
Mim mwenyewe niliuliza sikupata majibu wacha tusubiri wajuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…