Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona timu tofauti mkuu wewe unaleta utani ule mkeka PERSIJA JAKARTA VS SEMEN PADANG wewe umetuletea RITERIAI VS SUDUVA MARIJAMPOLE. Duu hiyo kali
Jana mechi ya Suduva ilitumwa mapema.kabla haijaanza na iliwin , ilikuwa ni correct score!!
 
Mkuu fungua huo mkeka wa green..fungua mojawapo nione option..
 
Mbona timu tofauti mkuu wewe unaleta utani ule mkeka PERSIJA JAKARTA VS SEMEN PADANG wewe umetuletea RITERIAI VS SUDUVA MARIJAMPOLE. Duu hiyo kali
Bangi mbaya Sana aisee
 
1XBET NI WAPUUZI KWELI YAANI UNATAKA KUWEKA STAKE YA 100K WANA KU_GUIDE UWEKE MWISHO 13K,NA PIA UNAKUTA GAME ZINGINE UWEKE KWENYE MFUMO WA ACCUMULATOR SASA NDO NINI HII.Ngoja niendelee na parimatch.co.tz
 
Mimi nazungumzia aliyo leta mshikaji jana,, huo aliopost leo haukuletwa humu ila huu wangu alileta BASIASA
Ishu ilikuwa ile match ilishinda BETPAWA kwa correct score 3,250,000/= kwa stake ya 250,000/= yenye ODD 13 wadau wakasema tusiamini ni edited wewe unakuja na sanaa zako. Ndo maana mdau mmoja kasema bhangi mbaya hata kama hauvuti bhangi.
 
Jana mechi ya Suduva ilitumwa mapema.kabla haijaanza na iliwin , ilikuwa ni correct score!!
Mkuu nawe pia hujasoma posts za nyuma yaani umedandia treni kwa mbele, SUDUVA imeletwa na jamaa huyu Phd young junior lakini mada ilikuwa tupate udhibitisho kuwa yule Hazard CFC kuwa watu na fixed bet zao jamaa ameshinda single fixed ya stake ya 250,000/= nikaomba mwingine mwenye match hiyo hata kama mkeka umechanika alete udhibitisho ili tujue ule ushindi haukuwa edited. Tusome thread vizuri wajameni.
 
Iv kwann watu hamtumii premier bet au princess bet
Ambapo hapo ungepata pesa yote bila kodi?????
20% nyingi sanaa premer nawapenda sana
Sijawah kuitumia ngoj nitaijaribu nijue lkn betpawa sio wabaya unapata bonus ni sawa na kodi yao tatiz baadhi ya mechi wanabana
 
Iv kwann watu hamtumii premier bet au princess bet
Ambapo hapo ungepata pesa yote bila kodi?????
20% nyingi sanaa premer nawapenda sana
Kodi ya 20% kwa kila ushindi zipo hata huko Premier bet na Princess hebu acha kuongopea watu mkuu. BETPAWA ina raha zake na shida zake ila za PREMIER BET ni zaidi CUSTOMER CARE wasumbufu sana, wana sharti la kutoa pesa kuanzia 10,000/= kwenda juu, PREMIER BET old website ndiyo ilikuwa nzuri hii mpya wamewabana sana wateja wao. PRINCESS BET nao sio wazuri sana kama BETPAWA na 20% TAX ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…