Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
1XBET NI WAPUUZI KWELI YAANI UNATAKA KUWEKA STAKE YA 100K WANA KU_GUIDE UWEKE MWISHO 13K,NA PIA UNAKUTA GAME ZINGINE UWEKE KWENYE MFUMO WA ACCUMULATOR SASA NDO NINI HII.Ngoja niendelee na parimatch.co.tz
MkuuUkiweka state ndogo ndio inavyokuwaView attachment 1235475
Labda siyo Mtanzania.Mkuu
Naomba ufungue kabisa huo mkeka tuone option mpaka ukatengeneza hizo odd mlima, sio kawaida kabisa
Sijawah kuitumia ngoj nitaijaribu nijue lkn betpawa sio wabaya unapata bonus ni sawa na kodi yao tatiz baadhi ya mechi wanabana
We nae..Em lala!
Ukiweka state ndogo ndio inavyokuwaView attachment 1235475
Tennis hiyo sio mpira na hapo moja imefutwaMkuu
Naomba ufungue kabisa huo mkeka tuone option mpaka ukatengeneza hizo odd mlima, sio kawaida kabisa
Nimeuweka lengo letu ni moja tuwakalishe hawa watuLabda siyo Mtanzania.
Sahau.
Umeona lakin ngoja tujaribujaribu ipo siku atakaa kwa odds hizo sijawah kumkatia tamaaNdo ujinga wa betting
Tennis hiyo sio mpira na hapo moja imefutwa View attachment 1235542
Umeona lakin ngoja tujaribujaribu ipo siku atakaa kwa odds hizo sijawah kumkatia tamaa
Utaruhusiwa ndiyo wanataka utoe kuanzia 3,500/= kwenda juu. Kuweka pesa kuanzia 1,500/= na kubet kuanzia 300/=.Naomba kuuliza swali kuhusu 1xbet.
Nikideposit 10000tsh nikacheza odd ya 1.3 nikashinda..nitaruhusiwa kutoa pesa yote(13000) au ntaruhusiwa kutoa 3000 peke ake?
Mi sijui kabisa ku bet mzee π π πMzee nipe tips za tar 20 nitupie mzigo
Imekubali, pamoja mkuuUnakawia kuweka pesa... Chakufanya ukishatop up ukaingiza kiasi unachotaka fanya hapohapo kuweka pesa usisubir zaid ya dkk ishirin ndo maana wanareject
Nb:unamatatizo ww uwe unajiongeza
Premier wameacha kukata kodi?Iv kwann watu hamtumii premier bet au princess bet
Ambapo hapo ungepata pesa yote bila kodi?????
20% nyingi sanaa premer nawapenda sana
Ahahah hii kali kwamba ni sawa na kodi yao???Sijawah kuitumia ngoj nitaijaribu nijue lkn betpawa sio wabaya unapata bonus ni sawa na kodi yao tatiz baadhi ya mechi wanabana
Hapa umetudanganya princess hawana tax ya 20%Kodi ya 20% kwa kila ushindi zipo hata huko Premier bet na Princess hebu acha kuongopea watu mkuu. BETPAWA ina raha zake na shida zake ila za PREMIER BET ni zaidi CUSTOMER CARE wasumbufu sana, wana sharti la kutoa pesa kuanzia 10,000/= kwenda juu, PREMIER BET old website ndiyo ilikuwa nzuri hii mpya wamewabana sana wateja wao. PRINCESS BET nao sio wazuri sana kama BETPAWA na 20% TAX ipo.
Mhm huku unafanya niniTeh......... [emoji51][emoji51]
Nmekuja kuwapa. Hi vijanaMhm huku unafanya nini