Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu na tigo kutuma sportpesa vipi inamatatzo manake jana hela yangu imeenda tigo kutuma betpawa...
Mkuu kuna shida kati ya tigo na sportpesa maana nami nilituma toka tigo-sportpesa na nilikatwa na sprtipesa haikuingia
 
Soka sio la kulishobokea kila siku hamia kwenye basketball.
Utakuja kushuhudia hapa kwenye bet 10 unaweza pata lose 1 tu
Moja ya principle za kuwa mkamaria mzuri ni kubet kwenye mchezo unao ufahamu kwa kina

Sasa wengine mchezo pekee tunao ujua kindaki ndaki ni soka, kila option naijua

Kwenye basketball au tennes nk wengi wetu ni giza, haujui hata set zikoje, point zikoje achilia mbali kujua form za wachezaji wenyewe

Ndio maana unaona wengi tunakomaa na soka hata kama inatuumiza
 
Mkuu angalia vizuri odd za liva
 
Yaan niliweka hela betpawa tangua jana kupitia tigopesa lakini hadi leo kimyaaa haijaingia nimewasiliana na betpawa lakini ni full kunifariji tu kwamba itaingia
 
Wazee hv huyu millwal atakua na uhai kwel maana kashikilia 3M
 

Attachments

  • Screenshot_20191023-214320_22Bet.jpg
    94.6 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…