Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #2,201
nikiweka 10,000 mkuu, natakiwa kulipwa 123, 730...
Thnx mkuu, ww ndo umenifundisha kila kitu, nilikua sijuwi
andybird314 dola 1000 kwa week kuna ka mti sasa hapo, either way kila la kheri ndugu uje kutuletea majibu...
Mm nlicheza megamix ya mpk ijumaa..nasubiri bado mkeka haujachanika
Megamix ikoje na iko kwa kampuni gani?
Ipo kwa muhindi kunakuwa na fixture za zaidi ya siku 2..ipo ya j4 mpk ijumaa na nyingine inakuwa jmoc mpk j3
Mhindi wa mbet au?
Jamani naona kama mbet iko poa sana ngoja nikajiunge mie nile vihela kidogo
Yah, MBET mkuu, kwangu mm hii ni nyingi sana
Premier betting au mbet?
Na ukipatia sh ngap waweza laza?
Nitaijaribu siku moja tuone inakuwajePremier
Bora wewe mimi sijawahi shinda laki moja, kuna game moja nilishinda 39000 ikaliwa yote nikaumia sana nikaogopa
du! Yani uliwarudisha yote nzima?
du! Yani uliwarudisha yote nzima?
Sikuwapa hiyo tu bali niliongeza na 20000 juu nikawapa afu sikuangalia mpira
Iliniuma sana
Naona umeshangaa mkuu Rockcity native jinsi jamaa alivowarudishia yote.
yani moja ya kanuni za kubet ukiwala mpunga mwingi usirudishe wote, weka kiasi
Hivi leo Colombia na Uruguay nani ataweza ibuka mshindi maana nahisi kama mshindi atakuwa Colombia kutokana na mfungaji pekee wa Uruguay kupigwa nje