Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 668
- 1,510
Hiii Hiii HiiiiHahaha imebidi nicheke maana nilikua sijaingia humu tangu ahsubui unadhan huwa nakula tyu hata mim kuna mda natandikwa
QPR Vs Brentford
GG = Odds 1.61
Stake 100,000.
Pesa ya supu.
Naiona kama droo
Unazijua odd 100+? Au unazionaga tuHiii Hiii Hiiii
Watu Wanaona Kama Una Edit Kisa Wao Wanapata Elfu 10 Wewe Unapig M 7
Kila Mtu Na Nyota Yake, Mimi Mwez Mzima Huu Nimegongwa Kama Laki 2 Hivi, Sijakata Tamaa Na Nikiona Raia Anabonya Mamilion Kama Wewe Nakuwa Motivated Na Najifunza.
Sometym Huwa Nafurahi Tu Mhindi Kuliwa Japo Sili Mimi So Mkuu Usiache.
Na Siku Ukipata Muda Na R9ho Yako Ikikubali Tupe Hata 100+ Tatu.
Tutakushukuru Sana
Kuna vichwa maji humu naskia walikua wanasema nime edit jinga kabisa ili nipate faida gan..haya angalia hzo transaction au nazo nimeedit[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu kuna baadh ya watu humu wanapenda UTOMASO kweli kujibizana nao ni kupoteza muda we piga kazi.Kuna vichwa maji humu naskia walikua wanasema nime edit jinga kabisa ili nipate faida gan..haya angalia hzo transaction au nazo nimeedit😀😀😀😀😀😀😀😀
😅😅😅😅 ni kinyume na ulivyotarajia..labda odd 500 ndy ziwe bomu😅😅Mzee odds 2 ndio bomu, kweli hii biashara imekua ngumu sana siku hizi
Nimeshangaa sana baada ya odds 2 kuitwa bomu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ni kinyume na ulivyotarajia..labda odd 500 ndy ziwe bomu[emoji28][emoji28]
hali ni tete..hata odds 1.8 by 4games inakua bomu!
Nimemtandika odds 30 muda huu ila nimeumia sana kutoleta mkeka jukwaani ili wana wapige supu,tatizo kistake nilichokiweka hadi aibuUmeona u bomu wake mkuu?View attachment 1247413
Sikuwa online mkuu sasa napitia pitia naona kuna wajinga wanasema nime edit sasa waje tena waseme na hzo transaction nime edit..wabongo bhana 😀😀Mku
Mkuu kuna baadh ya watu humu wanapenda UTOMASO kweli kujibizana nao ni kupoteza muda we piga kazi.
Ujue hali ilivyo ngumu, zile odds 2 zimekua bomu kweli!Nimeshangaa sana baada ya odds 2 kuitwa bomu
Huu mkeka umetiki tatizo ni stake iliyowekwa sasaUjue hali ilivyo ngumu, zile odds 2 zimekua bomu kweli!
Saiv mambo si mambo tena kama kipindi tunakua
Hatar sana mkuu nikwenda nao hvyohivyo si unajua tena kwnye msafara wa mamba hahahaSikuwa online mkuu sasa napitia pitia naona kuna wajinga wanasema nime edit sasa waje tena waseme na hzo transaction nime edit..wabongo bhana 😀😀
Hatari sana mzee,kazi imekua sio kazi tena,tunashindwa kuafford hata kuhonga dahUjue hali ilivyo ngumu, zile odds 2 zimekua bomu kweli!
Saiv mambo si mambo tena kama kipindi tunakua
Mbn odds za kibabe sana braza? Mana mechi 1 tu hapo na odd zake hizo ndy bomu saiv..Huu mkeka umetiki tatizo ni stake iliyowekwa sasaView attachment 1247475
0-0Ya 1-1
Sikuwa online mkuu sasa napitia pitia naona kuna wajinga wanasema nime edit sasa waje tena waseme na hzo transaction nime edit..wabongo bhana [emoji3][emoji3]