Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ujumbe mfupi hauji kwenye simu yangu namba napatia na naambiwa ujumbe umetumwa una code ila haufiki ili nijaze pale nipate access ya kuitumia 1X BET
Mimi ishawahi kunitokea hiyo kitu....

Chakufanya nenda kwenye web then chagua code wakutumie kwenye email na sio sms then utafanikiwa chief
 
Mbona sijaelewa hizo handcap? Maana liverpool na aseno wametoa sare, cap imekujaje hapo? Ufafanuzi kidogo
CAP haiji yenyewe, unaweka wewe unaebet. Nilisema mwanzo cap ni magoli ya mezani. Cap ya Goli moja kwa liver inamaanisha matokeo yoyote ya uwanjani, liver utamuongezea goli 1 kisha ndo uangalie mshindi atakua nani.

Goli la Cap linajulikana kwenye huo mkeka tu, lakini matokeo ya uwanjani na mikeka mengine yanabaki kama yalivyo.

So kwa mujibu wa mkeka wa jamaa, matokeo ni 6-5 ushindi kwa liver ukiweka na goli la mezani (cap) ulilompa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…