Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii option mbpna siioni au ni zle accumulater
 
Sikomi. Baada ya vipigo vya wiki iliyopita, leo natoka hivi:
 
Leo ni siku y pesa tupu $ odds zimekaa vizuri mno hakika leo ni neema .....hakutakuwa na psg kwa siku ya leo cha msingi andaeni mitaji odds 5,810,mpaka 50 zipo kabisa
Yap! Leo timu kubwa zote zinacheza kwa kuwa wiki ijayo watakuwa na mechi za UEFA. Kama ni kula au kuliwa, ni leo. Kesho hakuna kazi. Leteni hiyo mikeka tunakiri.
 
wadau naomba ufafanuzi hapa kidogo
inanichanga kidogoView attachment 1251625
Hapa ni ikiwa penati itakayotolewa itafungwa (YES) au la (NO) na uombe hiyo penati ipatikane, isipopatikana UMELIWA na ikipatika lakini isifungwe, UMELIWA pia!!!!. Hii ni RAMLI zaidi ya KAMARI. Nakushauri utafute options zingine ucheze. Leo timu na options zipo nyingi, ushindwe mwenyewe.
 
Mzee wa Premier Bet nadhani penalty isipotokea still umekula, sina uhakika lakini.
 
Leo ndio siku watu tunavurugwa na kujikuta tubetia timu zote kubwa win,

Kitu ambacho hakijawah tokea toka football ianze,
 
Mkuu kwa mtandao wa airtel inakubali ndani ya dakika moja. Wewe umekwama wapi?
Tushategeneza tayari mkuu na tushajaribu kuweka pesa lakini zinagoma na tunataka maelezo wewe umewekaje labda kuna sehemu tunakosea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…