super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
Mkuu parimatch ukitaka kuweka mkeka na wakisema odds zimechange huwa unafanyaje? maana mi sionagi option inayoelekeza cha kufanya, nilizoea sportpesa systm yao nzuri saaaaaana ila sema tu udwanz wa kodi na mechi chache ndiyo vimenikimbiza ila hawana longolongo kabsaaaa sijawah hata kupigia simu customer care but nimejiunga parimatch nimewala kutoa mpunga ikagoma, ikabidi niwapigie kurekebisha tatizo imechukua siku 3, anyway parimatch wakiiboresha systm yao watapendeza sanaaaa.

Huu mkeka umejaa uongo wa kutosha.
Tayari tumeshaanza kuhangaika!Nna madhaka makubwa na huu mkeka ulioshinda million 22 kwa stake ya sh 25000 kww odds 1145 kwa jumla ya mechi 15 kwenye mkeka.
Huu mkeka umejaa uongo wa kutosha.
1) pale juu kunaonyesha idadi ya mechi n 15/15 lakin mkeka wenyewe una idadi ya mechi 16 zihesabu vizuri.
2) jumla ya odds zako ni 1145 lakin uhalisia wa hizo odds ukizidisha n 817.
3) your stake times odds imeleta kwako million 22 kiuhalisia odds 1145 times 25000 inaleta mil28 minus kodi 5m plus 2mil ya bonus equal to 25mil. Ila kwako imeleta 22 mil.
Utaniconvice ikiwa utalekebisha hizobmechi hapo najua unao huo uwezo was kucheza na hizo tickets, Na valid justifications za kutosha.
Na uwezo mdogo wa kufikiri pia n tatizo kwa watanzania wengi. Hata simple analysis inatushinda. Namba hazidanganyi.Tayari tumeshaanza kuhangaika!
Utajiua mwenyewe!
Tanzania uchawi mwingi sana ndani ya watu, shida tu ni kua watu hawana vitendea kazi!
Nna madhaka makubwa na huu mkeka ulioshinda million 22 kwa stake ya sh 25000 kww odds 1145 kwa jumla ya mechi 15 kwenye mkeka.
Huu mkeka umejaa uongo wa kutosha.
1) pale juu kunaonyesha idadi ya mechi n 15/15 lakin mkeka wenyewe una idadi ya mechi 16 zihesabu vizuri.
2) jumla ya odds zako ni 1145 lakin uhalisia wa hizo odds ukizidisha n 817.
3) your stake times odds imeleta kwako million 22 kiuhalisia odds 1145 times 25000 inaleta mil28 minus kodi 5m plus 2mil ya bonus equal to 25mil. Ila kwako imeleta 22 mil.
Utaniconvice ikiwa utalekebisha hizobmechi hapo najua unao huo uwezo was kucheza na hizo tickets, Na valid justifications za kutosha.
Tayari tumeshaanza kuhangaika!
Utajiua mwenyewe!
Tanzania uchawi mwingi sana ndani ya watu, shida tu ni kua watu hawana vitendea kazi!
Siyo kwamba sikuhesabu tokea jana, nilihesabu na nikahakiki ilivyo ila mi nilijisemea moyoni " ya ngoswe ni mwachie ngoswe mwenyewe"!Na uwezo mdogo wa kufikiri pia n tatizo kwa watanzania wengi. Hata simple analysis inatushinda. Namba hazidanganyi.
Nna madhaka makubwa na huu mkeka ulioshinda million 22 kwa stake ya sh 25000 kww odds 1145 kwa jumla ya mechi 15 kwenye mkeka.
Huu mkeka umejaa uongo wa kutosha.
1) pale juu kunaonyesha idadi ya mechi n 15/15 lakin mkeka wenyewe una idadi ya mechi 16 zihesabu vizuri.
2) jumla ya odds zako ni 1145 lakin uhalisia wa hizo odds ukizidisha n 817.
3) your stake times odds imeleta kwako million 22 kiuhalisia odds 1145 times 25000 inaleta mil28 minus kodi 5m plus 2mil ya bonus equal to 25mil. Ila kwako imeleta 22 mil.
Utaniconvice ikiwa utalekebisha hizobmechi hapo najua unao huo uwezo was kucheza na hizo tickets, Na valid justifications za kutosha.
Kuhoji pale usipoelewa sio uchawiWeee ni mchawi mkubwaa pesa za mtu ww unaumia rohooo ww au ww ndio una hisa uko meridian?
Sifaidiki na uongo wake ila nasikitishwa na vijana wanaoutazama wakatamani mistake high wakiamini watapata kumbe wanazidi kupoteza. Na watakaoenda inbox kupewa odds kwa pesa.Weee ni mchawi mkubwaa pesa za mtu ww unaumia rohooo ww au ww ndio una hisa uko meridian?
Kwenye milion 28 toa milioni 5 laki saba na elfu 20, 988 kama kodi utapata hiyo amount iliyobakiNa uwezo mdogo wa kufikiri pia n tatizo kwa watanzania wengi. Hata simple analysis inatushinda. Namba hazidanganyi.
Leo kama kawa kama dawa odds ya 5+ safi ipo
Yan unaenda kwa mlevi unamuomba ushauri wa kuacha pombe?Wakuu natamani kuacha kubet ila nashindwa. Msahada wenu.
Hiyo mechi moja iliyozidi ni Kanji kampa nyongeza kwa ubetiji wake mzuri uliotukuka.Mechi zipo 16 lakini Mkeka pale juu umeandika mechi 15[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilaa wabongo jamani muhindi atulee pesaa na sisi kwa sisi piaa tuibianeee aisee[emoji24][emoji33][emoji33]
Au labda System yao imekosea kuhesabu mikeka ikaandika 15/15 badala ya 16/16. Si wajua hizi system zimetengenezwa na Binadamu kakaItakuwaa kanji kamuongezea odds zinonee[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]