Haina noma Mkuu,Pole mkuu ....kuna mshkaji wangu yeyw nilivyotumia tu katia 500k nadhani unajua how much kapiga 2m so usijali ni kawaida tu kwenye hii michezo kuwa na tamaa
hii ni kampuni gani mkuu ina opt ya conner?Pole mkuu tumeingia chaka View attachment 1251501
Utaniconvice ikiwa utalekebisha hizobmechi hapo najua unao huo uwezo was kucheza na hizo tickets, Na valid justifications za kutosha.
Eti utaniconvince!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu ficha ujinga wako mkuu,kwani yeye kaweka ili akuconvince?
Usikate tamaa mkuu kunakipindi nililiwa mpaka akili ikakaa sawa..betting kuna muda mambo yanakwenda mrama!!jipe likizo uje na ari mpyabetting ngumu bora kufanya kitu kingine
Kampuni karibu zote zina option ya konahii ni kampuni gani mkuu ina opt ya conner?
Pole kwa roho yako mbaya nafikiri humjui jamaa stake zakeNna madhaka makubwa na huu mkeka ulioshinda million 22 kwa stake ya sh 25000 kww odds 1145 kwa jumla ya mechi 15 kwenye mkeka.
Huu mkeka umejaa uongo wa kutosha.
1) pale juu kunaonyesha idadi ya mechi n 15/15 lakin mkeka wenyewe una idadi ya mechi 16 zihesabu vizuri.
2) jumla ya odds zako ni 1145 lakin uhalisia wa hizo odds ukizidisha n 817.
3) your stake times odds imeleta kwako million 22 kiuhalisia odds 1145 times 25000 inaleta mil28 minus kodi 5m plus 2mil ya bonus equal to 25mil. Ila kwako imeleta 22 mil.
Utaniconvice ikiwa utalekebisha hizobmechi hapo najua unao huo uwezo was kucheza na hizo tickets, Na valid justifications za kutosha.
Kampuni karibu zote zina option ya kona
Isipokua wanaweka kwenye baadhi ya game
Hiyo ni betpawa
sawa mkuu kiuhalisia tunatoa sifuri moja ya mwisho inayobaki ndo stake uliyoweka
Mkuu sijaku PM ila kwenye ya chai na sambusa unikumbuke, Wageni ndio watapata mashaka na wewe. Watu wanajua ni jinsi gani huwa unalipuka stake za milioni milioni...Analysis yako ina make sense. Ila toka mwanzo huo mkeka huko hivyo hivyo. Alafu mie siuzi odds mkuu, na sijawahi kuuza, na sitegemei kuzaa. Kama kuna mtu nimemuuzia odds aseme hapa, ila PM zakuomba hela ninazo kama 30.
Hiyo ngoma nimekula kama ilivyo. Jumatatu ntaenda ofisini kwao kuvuta mpunga, nitaululiza.View attachment 1252737
sawa mkuu kiuhalisia tunatoa sifuri moja ya mwisho inayobaki ndo stake uliyoweka