Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau naomba kuhuliza leo nimebet mkeka wa timu kumi,timu tisa zimetiki alafu timu ya kumi mechi imeharishwa kwenye malipo hapa itakuwaje??
 
Hii comment yako inaonyesha hukuangalia mpira tangu unaanza!
Usishinde na livescore tu, uwe unaangalia pia mech!
 
Hata 1xbet wana hiyo system, tena kule michezo yote basketball, hockey nk
 
Wadau naomba kuhuliza leo nimebet mkeka wa timu kumi,timu tisa zimetiki alafu timu ya kumi mechi imeharishwa kwenye malipo hapa itakuwaje??
Subir masaa 24 au saa ingine 12 tu wameshapata info za hiyo mechi, isipochezwa, zile odds zitapunguzwa sawa na za hiyo mechi hlf zitazidshwa na stake yako hlf utaenda kwa Wakala!
 
Leo nimejifunza kutokudharau option ya mtu kwenye kubet, leo kwenye mechi ya chelsea na crystal palace kuna mdau kaweka sub ifanyike kipindi cha kwanza tukawa tuna mnanga kuwa amepoteza hela yake bure, tunakuja kushangaa crystal palace wanafanya sub half time.
Jamaa kachukua hela sisi tukabaki na tunabung'aa tu
 
Wadau naomba kuhuliza leo nimebet mkeka wa timu kumi,timu tisa zimetiki alafu timu ya kumi mechi imeharishwa kwenye malipo hapa itakuwaje??
Sportpesa wanakulipa hizo 9 moja wanaitoa,sijui kwingine wanafanyaje...iliwahi kunitokea wakafanya hivyo
 
Hela yangu ilikuwa kwenye account yao. Kutoa inagoma toka juzi naitoa inakataa
Mkuu ukitaka kuwa unapishana gari la mshahara weekend basi mfanye Meridianbet awe ndio chaguo la kwanza kwa makampuni
 
Hata 1xbet wana hiyo system, tena kule michezo yote basketball, hockey nk
1xbet Hawana Option Kama Za Huku Bro, Huku Unachagua Odds Wewe Unasema Nataka Za Kuanzia 1.2 Hadi 1.8 Na Kuendelea Na Total Iwe Mfano: 120 Odds System Inaangalia Kwenye Mechi Walizotabir Wao Wanakupa Unachagua Mwenyewe Kama Unataka Mchanganyiko Wa Michezo Yote Au Football Tu Na Unachagua Mechi Za Leo Tu Au Za Siku Zijazo.

Naijua 1xbet Nina AC Kule Na Bet365 Tangu 2015 So Ninachokwambia Hii Site Haiko Sawa Kabisa Na 1xbet Kwenye Ku Generate Ticket.

Na Huku Hakuna Games Kubwa.
 
Chelsea baba lao ,Leicester baba lao ,PSG baba lao ,Madrid baba lao, inter baba lao, Monaco baba lao, Bayern baba lao, ARSENALI ---------------???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…