Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


App gani ya kubet ipo katika iphone ndugu
 
Kingine humu kuna mawakala wa muhindi. Wanapoteza wenzao kwa kuwapa hints mbovu
 
Kingine humu kuna mawakala wa muhindi. Wanapoteza wenzao kwa kuwapa hints mbovu
 
Kingine humu kuna mawakala wa muhindi. Wanapoteza wenzao kwa kuwapa hints mbovu
 
mkuu wengne tunakufaidi na inspiration yako
vivuruge hawakosagi palipo na wengi
 
Austria › Bundesliga
LASK - Flyeralarm Admira
Tip: Home win

England › Premier League
Liverpool - Manchester City
Tip: Btts

Turkey › Süper Lig
Medipol Başakşehir - MKE Ankaragücü
Tip: Home win

Scotland › Premiership
Celtic - Motherwell
Tip: Home win

Czech Republic › 1. Liga
Slavia Praha - FK Teplice
Tip: Home win

Netherlands › Eredivisie
AZ Alkmaar - FC Emmen
Tip: Home win
 
Mkuu binafsi sijawahi kuamini kwamba ili upate faida katika betting inabidi uwe na mtaji mkubwa
Ukiona mtu anatupia stake za adabu basi ujue tafsiri yake ni kwamba accuracy ya bashiri zake ipo juu sana ndio maana ana risk hivyo
Kama accuracy yako ya bashiri ni mbovu hata upewe bilioni 100 zitaliwa zote
Biashara yoyote ile ukiwa na mtaji mkubwa unapata faida kubwa. Ukiamua kila siku ulaze angalau laki kwa mtaji wa 1mil inawezekana endapo utaacha tamaa
 
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]BET OF THE DAY[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

La liga 2....Cadiz [emoji735]2

Serie A..... Atalanta Corners over 10.5

Seria A......Juventus Win

TOTAL ODDS 5.11

Weka Kibunda Hapo
 
Mkuu jitahidi uwe unabet mechi chache hata mbili au 3 lakini zenye uhakika
Hata ukipata odds 3 ukaweka 10000 ukapata 30000 sio mbaya mkuu
Ahsante mkuu kwq ushauri ntajaribu kuufuata nipunguze vipigo. But naomba kuuliza hii kitu inaitwa DC ni nini naona sana watu wakiitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…