Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ASANTE CITY nilimpa liva ingawa ni mshabiki wa city chonde chonde usibetie ushabiki utakufa na preshaHONGERA!Umeshinda Tzs34400 kwenye Liverpool vs Manchester City,OVER-HOME(namba ya bet 9384). Kodi Tzs4880.Baada kodi unapata Tzs29520. kkama awali nilivyosema nampa liva and ov 2.5
 
Ujaanfalia H2H wewe, hizo odds alizokuwa kapewa Leicester no ndogo sana kwa upande wake alistahili 2.89
 
Hiyo combinations zako ndio zimepunguza odds
 
🇨🇵 Lorient – Niort = 1 FT 💯🔫✅
🇮🇹 Crotone – Ascoli = 1 FT 💯🔫✅
🇨🇿 Ostrava – Karvina = 1 FT 💯🔫✅
🇦🇩 Astra – FC Voluntari = 1 FT 💯🔫✅
🇦🇹 Wacker Innsbruck – A. Klagenfurt = Over 2.5 💯🔫✅
 
HONGERA! Umeshinda Tzs15256 kwenye bet nyingi (namba ya bet 8474). Kodi Tzs2851. Baada kodi unapata Tzs12405. MUHINDI ASANTE
 
Parimarch ni viumbe wa ajabu sana, kuna bet niliplace juzi lakin hadi Leo hawaja update matokeo ya mechi zote tatu ila kwenye bet result ni lost hadi ikabidi niende google nikakuta kweli kuna mechi ilitoa droo..

Bet nyingine nimeplace Jana na mechi zimeisha tangu jioni lkn hadi Leo wame update matokeo ya mechi mbili tuu kati ya Tisa hadi imenibid kwenda google tena na nimekuta zote zimetoa lkn matokeo hawaja update na mkeka bado umewekwa pending,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…