Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila hawa meridianbet kuna muda wanatia hasira aisee, jumamosi na jumapili network yao inakua imelewa karibia siku nzima, nimefanya deposit za 500k Mara mbili zote hazijaingia kwenye account, Nikipiga customer care wananiekea miziki tu mpaka dakika 7 afu salio linaenda tu,pumbavu zao
 
Hawa jamaa kama wangekuwa hawana usumbufu ingekuwa betting site nzuri, sema during weekends wanazingua kinyama
 
Nakwama wapi na matrailer yangu ? Nimepata timu 10 kati ya 13 na nyingine 9 kati ya 13 na ni mikeka ya siku moja...
 
naskia hiyo parimatch ni mbovu sana wana njaa sana hawana kabisa hela siku ukiwala hata milioni watakutaftia kosa lolote kwenye account yako ili wapate sababu ya kukunyima .kuna jamaa walishamfanyia hivyo afadhali spesa ama mbet hao pmatch wazinguaji
 
Wakuu Jana nilibet total penalties katika mech 6 za seria A under 2.5 na ikatokea penalty moja na mkeka lost.Mimi niliguatilia kupitia live score nikapata hivyo.Wakuu msaada nifanyeje ilikuwa ni 22bet
 
Wakuu Jana nilibet total penalties katika mech 6 za seria A under 2.5 na ikatokea penalty moja na mkeka lost.Mimi niliguatilia kupitia live score nikapata hivyo.Wakuu msaada nifanyeje ilikuwa ni 22bet
Game ya Lazio ilikuwa na penalt 2, na game ya udenese penalt 1 jumla 3
 
Reactions: Ccc
Jana nimebeti man u na brighton,
Nikampa man u ashinde, kweli nimeshhida 800.
leo kuna mechi gani ya uhakika nibeti tena. mimi hata sitaki hela nyingi
Hiyo picha ni yako? Una kaulimi kazuri, tafadhali naomba urudi nyumbani sauda... Pesa nitakuletea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…