View attachment 167312
kwenye my account ndio utapata hii kitu unaweka hela afu unachagua wapi waenda withdraw either mpesa au vibandani, kwa hili sasa hawataniona huko vibandani kwao
Hivi leo Colombia na Uruguay nani ataweza ibuka mshindi maana nahisi kama mshindi atakuwa Colombia kutokana na mfungaji pekee wa Uruguay kupigwa nje
Sorry mkuu, wakati wa kufanya registration ile box ya PROMO CODE unajaza kitu gani? Nimekutana nayo hiyo wakati najisajili. Nikaamua kusitisha zoezi & nikawauliza via e-mail, naona kimya sikujibiwa mpaka leo.
hata angekuwapo ze canibal suarez, colombia ana nafasi kubwa sana ya ushindi.. Tena naenda meridian kuweka buku 20 nipate 41. Odds zao wamempa colombia 2.05
Tatizo m-bet kwa mechi hizi za mtoano matokeo yake hayaextend 90 minutes!Kwa hiyo timu unayoipa ushindi inaweza ishinde kweli,lakini ni ndani ya dk 30 za nyongeza au kwe penati.
Na unakuwa umeliwa ingawa umebet sahihi.
Mm nmempa uruguay

Leo me nampa brazil na uruguay,,,sithani kama colombia anaeza furukuta kwa uruguay
Pole mkuu
Hv cjaelewa sasa tulibet brazil anashinda inakuaje
Hv cjaelewa sasa tulibet brazil anashinda inakuaje