Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Hyo stake ni ya Jana usiku kuamkia Leo but no pending, ni kweli walkuw na ttzo la network ku update result tangu ijumaa mwenyew nilpigwa pending mechi ya herthabsc vs Leipzng na barca vs celta ila Jana wamepay na nkaeka stake nimekuta payment View attachment 1261188
😎Safi sana. Bet wonNimecheza Over 2.5. Hakuna DIRECT WIN
Shida ni upepo tu kaka. Hapo umekutembelea. Ukikuhama unaeza jikuta unatembea unaongea mwenyewe barabarani. Kwa hiyo ya leo hongera aisee, si haba.Nasema hiviii siachi kubeti [emoji39][emoji39][emoji39]
Leo kiutani utani tu mwamba mmja kanipa mori nkazama kueka stake
First half stake ya elfu 15000 won 20300
Again! Second half stake ya elfu 15000 won 34000
View attachment 1261293View attachment 1261294
Kama jana ulichambua hapa, zilitoa zotee
Kbsaa mzee,Shida ni upepo tu kaka. Hapo umekutembelea. Ukikuhama unaeza jikuta unatembea unaongea mwenyewe barabarani. Kwa hiyo ya leo hongera aisee, si haba.
ZA LEO, CHAMBUAView attachment 1261314