Tupeane tips basi kabla hauja bet mkuu.Ebanaaaa Eeeeh!!![emoji120][emoji120] [emoji23][emoji23]
Leo mbona siku ya kizembe afu kimasiraha kibubu kinajaa
Another One🙁livebet)
Stake: Elfu 85000 Won Laki 114750
Faida; Elfu 29750
Ntakipata tuu ndo nikome[emoji23][emoji23]View attachment 1261458
Multibet pasua kichwa, kwa odds za basket bora kucheza live inalipa zaidi!!MULTIBET nimeacha kucheza. Angalau kucheza LIVE. Inalipa sana!
Multibet pasua kichwa, kwa odds za basket bora kucheza live inalipa zaidi!!
Multibet aina uakika kama single bet kwani timu moja tuu inaweza kukunyima pesa tena dk za majerui!!NDIYO CHIEF. Inalipa, JAPOKUWA KAMA MULTIBET angalau 2 or 3 MATCHES.
Kuna mwana wa parimatch vipi upepo umegeuka au[emoji23][emoji23]
Uchawi upo wa Aina nyingi sanaKuna mwana wa parimatch vipi upepo umegeuka au[emoji23][emoji23]
BOT washafanya yao uko kwa wazee wa Bitcoin
turbo mzee bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa game za mwisho huwa hazitabirikiJaman ni turbo au nikaze? View attachment 1261567
Vp wamezuia tena n hio option ?
Baba cashout fasta, ushauri tu. Usitake kulipiza hasira kwa bet moja.Jaman ni turbo au nikaze? View attachment 1261567
Jaman ni turbo au nikaze? View attachment 1261567